Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Akizungumza mbele ya Makamu Mwenyekiti John Heche, Mwenyekiti wa jumuiya ya wanafunzi wa CHADEMA vyuo na vyuo vikuu CHASO ameitaka serikali kuacha uoga wa kuzuia siasa vyuoni.
Amekumbusha kuwa wapo viongozi mbalimbali waliojulikana kwa kupitia vyuo akataja mfano wa Jaji Joseph Warioba