Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Soma kitu kinaitwa promt the AI. Ai Prompt engineering. Aisee hio ndio suluhisho.Kwangu kutumia chatgpt ni mtihani maana haina ile flow ya kibinadamu maana imekuwa designed kuwa na standard English ambayo hutumika kwenye ishu za academic.
Kwa hiyo Mimi ni kheri nitumie quillbolt na nikiona kuna utata, nitatumia chatgpt kunyoosha sentensi lakini nitakuwa strict ili isiharibu tone na mtiririko wa mwanzo.
Lakini njia nyingine napenda mtu asome ili anipe feedback ya kibinadamu na sio kiroboti..
Ila kama kwako ipo sawa, hongera mkuu.
AI ni dude kubwa ambalo halielewi cha kukupa. Wewe ndio uliongoze likupe nini . Kingine prompt the same questions kwenye AI tofauti na uchague the best.
Nilikuwa naipuuuzia prompt e gineering kumbe ndio kitu kikubwa kuliko tunavyowaza.
Bahati mbaya sana nayo ina programming ila ktk basic unatembea na text.