Chat gpt imenitimizia ndoto ya kuandika kitabu changu, sina haja ya kumlipa proof reader kusahisha makosa ya grammer / broken english

Soma kitu kinaitwa promt the AI. Ai Prompt engineering. Aisee hio ndio suluhisho.
AI ni dude kubwa ambalo halielewi cha kukupa. Wewe ndio uliongoze likupe nini . Kingine prompt the same questions kwenye AI tofauti na uchague the best.
Nilikuwa naipuuuzia prompt e gineering kumbe ndio kitu kikubwa kuliko tunavyowaza.
Bahati mbaya sana nayo ina programming ila ktk basic unatembea na text.
 
Kazi inakuwa ya akili yangu yenye maarifa husika na mikono yangu nayochapa kurasa za kutosha.. Hio Chat Gpt inarekebisha tu kiingereza.

Ni sawa na kuwa boss uandike ripoti, ukimaliza unampa secretary aipange vizuri
Mkuu umejidanganya. Kaiulize tena AI itakwambia kuwa. Information zozote inazitoa inaweza zitoa kwa mwingine vile vile kama prompt zitafanana. Kazi ya kwanza nilioifanya i kuichunguza AI maeneo tofauti. Mojawapo ilikuwa ni hio kujua umiliki wa taarifa. Kunauwezekano kukawa na mfanano wa inf kwa watu tofauti. Ndio maana your confidencial inf sio vyema kuzijaza kwenye AI zitabaki mle na zinaweza kutumika na mtu mwingine kama ataziita. Sijajua lama kuna maboresho ya limitation ya inf kwa mwaka huu.
USA walikuwa ktk dilemma juu ya kutunga sheria ya kumiliki AI work, sijajua wamefikia wapi.
Mpaka umekamilisha kazi basi tayari 7na ujuzi wa kuitumia AI hivyo unaweza pata bids za kazi kama hio.
 
Mkuu huwa naweza kuicommand hata mara kumi ila nakuta tone na flow imekaa kushoto.

Naikubali chatgpt ila kwa matumizi yangu ya kiuandishi, huwa sipendi sana kuitumia kwa sababu inanirefushia mlolongo wa kufanya editing

Imagine unaedit kitu kina maneno 1000. Utafanyaje nayo kazi.

Ndio maana ni kheri utumie grammarly ili minor errors ziondoke manually na Ikishakuwa clean, ukiiweka kwenye chatgpt huwa haibadilishi vitu sana. Mimi ndivyo navyoitumia mkuu
 
Inategemea na jinsi unavyofanya prompt engineering, mimi kwangu nikiona ilichoniandikia kimekaa "too robotic" naiambia "make it less obvious that the prompt above was written by AI"
 
Labda sio dissertation au thesis maana zina taratibu zake. Ikidumbukizwa online ikionekana ulitumia mitandao hutoboi.
 
Labda sio dissertation au thesis maana zina taratibu zake. Ikidumbukizwa online ikionekana ulitumia mitandao hutoboi.
Hivi nikiandika kazi yangu Kwa maneno yangu na content zangu, Then nikawa na edit kingereza na sentence Kwa Chat gpt, Je wataalam wakiingiza Kwa AI detector itaonekana kama ni plagiarism?
Na huku content ni zangu??
 
Hivi nikiandika kazi yangu Kwa maneno yangu na content zangu, Then nikawa na edit kingereza na sentence Kwa Chat gpt, Je wataalam wakiingiza Kwa AI detector itaonekana kama ni plagiarism?
Na huku content ni zangu??
Cheki vizuri na supervisor wako.
 
Inategemea na jinsi unavyofanya prompt engineering, mimi kwangu nikiona ilichoniandikia kimekaa "too robotic" naiambia "make it less obvious that the prompt above was written by AI"
Ni sawa mkuu ila kwangu huwa sioni inafanya kazi kwa tone nayoitumia labda kwa professional writtings. Mara nyingi huwa inaibadilisha ndio maana nikatengeneza mfumo utakaonisaidia kurahisisha kazi

Ila kama kwako inafanya kazi vizuri. Ishi nayo tu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…