Chat gpt inanisaidia sana kusoma vitabu, zamani lugha ilikuwa inanipiga chenga, pongezi kwa AI

watu kibao

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2025
Posts
466
Reaction score
1,663
Nilikuwaga napenda sana kusoma vitabu lakini kiingereza chetu tulichokizoea shuleni na vyuoni bado kipo shallow sana, kila nikisoma kitabu nakutana na misamiati mipya, nilikuwa nachoka.

Siku hizi kuna AI yani nikikuta misamiati au sentensi ngeni naipaste to kwenye chat gpt, naelewa fasta
 
Hivi kwa anayependa kuandika yaani creative writing je inamfaa?
 
Back
Top Bottom