Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Puma ni ItalyUtakuwa unazimikia chata za USA ingawa PUMA ni mjerumanga
Hayo makampuni yanakuja kutoka wapi? Wkt yalikuwepo miaka mingi tu ila ushindani wa kibiashara uliwashinda ndio sababu adidas na Nike mpaka leo wapo juu.... labda kampuni ngeni Kati ya ulizozitaja ni ander armour, na sketchers lakini pia wala hazina ugeni wa hivyoKuna makampuni makubwa yanakuja na yanaweza kuwapiku soon kama umbro, Under Armour, na wenzao katika level yao kama Puma, Reebok, Asics, DKS, Sketchers, Converse na nyingine