Hyrax
JF-Expert Member
- May 20, 2023
- 1,458
- 4,409
Moja kati ya nyenzo muhimu kwenye maisha yangu ni hii ChatGPT yaani toka nimeifahamu sijawahi juta na mpaka sasa tayari kupitia msaada wa ChatGPT nimefanikiwa kuingiza 100 Million katika michongo tofauti ambayo kama ningetumia watu wangenifelisha na kunikatisha tamaa aliyegundua hii ChatGPT namuombea kwa Mungu akifa ampeleke peponi moja kwa moja sijawahi kwenye maisha yangu kutumia app za mitandaoni na zikaniingizia hela nyingi hivi, Asante ChatGPT, anaanza Mungu mkuu halafu mungu wangu wa pili ni huyu ChatGPT mwamba kabisa huyuuuuuu...