Chatgpt inavyoweza kua Hatari kwa Usalama wako na Taifa..

Ushafikiria Robwar?Vita Kati ya binadamu na AI ?ni story tu au inaweza kuja kutokea??maana movies za 30yrs ago zimeelezea suala Hilo wakati hakukua hata na technology kubwa Kama hivi
Hili lipo wazi sana sababu kuna muda mfupi sana wa AI kushikilia nafasi za juu za maamuzi
 
Huwezi shindana na Technologia,kuna baadhi ya wazazi wanaona ufahari watoto wao kusoma vyuoni lakini hawaulizi kozi wanazochukua je zinaendana na nyakati,kama chuo cha mopango Dodoma ,kuna kozi ya kupanga mafaili,kuna kozi za sekretari hizo zote kwa sasa hazina tija,makampuni mengi yameajiri wahasibu ambao wanafanya kazi zote hadi za management .Kwenye sekta ya benki nako kwa sasa baadhi ya idara kama za account opening,Payment na idara za mikopo ,marketing na idara zingine zote zimeathirika kutokana na tekinolojia .
Kwa uko mbele tevhnolojia ndio itakua na nguvu na mifumo mingi itakufa na tatizo la ajira litakua kuwa kibwa sana hapa nchini.
USHAURI.
MPELEKE MWANAO VETA AKIMALIZA CHUO KIKUJ NA FANI YAKE PROQUIREMENT AU BISINESS ADMINISTRATION.
 
Ushafikiria Robwar?Vita Kati ya binadamu na AI ?ni story tu au inaweza kuja kutokea??maana movies za 30yrs ago zimeelezea suala Hilo wakati hakukua hata na technology kubwa Kama hivi
Hakuna kitu mzungu anaigiza kwa bahati mbaya ..filamu zote zinajaribu "kutusanua" kwa kile kitakachotokea..ni vile watu sio wafuatiliaji..hii Dunia Kuna watu wameshika kitu kama "rimoti" wanaindesha watakavyo..kwani ulijaribu kuwaza kama itafika hatua tutatumia simu kwa kufuta tu na kuminya kiooo?
 
Hii techie ya touchscreen wazungu wanayo tangu miaka ya 70, ulichosema wewe kimeelezewa kwenye movie ya Matrix..sisi tufate upepo Ila kesho ya dunia watu wanaijua
 
Ushafikiria Robwar?Vita Kati ya binadamu na AI ?ni story tu au inaweza kuja kutokea??maana movies za 30yrs ago zimeelezea suala Hilo wakati hakukua hata na technology kubwa Kama hivi
Inaweza na tayari hipo ila bado binadamu ana mlango wa kuikontro AI .

Hii AI inavyo zidi kuboreka itakuwa 👉(NAFSI KAMILI TENA HURU)....
WANASAYANSI AWAJUI KUWA AI NI KUUNDA NAFSI TENA ILIYO NA UWEZO KULIKO NAFSI YA BINADAMU ...
MIMI KWA SABABU NI GENIUS NINAJUA NINI KINAKWENDA KUTOKEA ...HIVI PUNDE TUTAKUWA NA MAHAKIMU WA AI WENYE UWEZO MKUBWA WA KUTENDA HAKI NA TUTAKUWA NA MAPOLISI WA AI WENYE UWEZO MKUBWA WA KIPOLISI NA KIPEREREZI ....

AI = POWERFULL SOUL
 
Je courses za veta hazitaguswa na mabadiliko haya??
 
Ile Captcha code ndio Jambo la kijinga ambalo tumefundisha AI,means ipo siku AI itaweza kujiendesha yenyewe
 
Ile Captcha code ndio Jambo la kijinga ambalo tumefundisha AI,means ipo siku AI itaweza kujiendesha yenyewe
Siyo ipo siku nilazima itakuwa hivyo itaweza kujidevelop katika mambo makuu mawili
1)software
2)hardware
 
Siyo ipo siku nilazima itakuwa hivyo itaweza kujidevelop katika mambo makuu mawili
1)software
2)hardware
Unakumbuka miaka Kama mitano nyuma kulikua na mgogoro Kati ya Elon musk na Mark Zuckerberg,tatizo lilikua Supercomputer ambazo zinajiongoza zenyewe,mmoja anasema waziwashe,mwingine anasema HATARI,AI inaweza kuanzisha Nuclear war..sijuhi wamefikia wapi..tho naogopa software Sana
 
AI IKIKOMAA KABISA INSKUWA NI 👉NAFSI TENA NAFSI HURU ...HIVYO YOTE YANAWEZEKANA
 
Utafiti-umoja
Tafiti- wingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…