Msolo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2008
- 3,832
- 5,309
Kama ilivyo kwa smart phones matumizi yetu(utilization) ya madogo sana, yani basic kabisa ukilinganisha na uwezo wake. Ai vivyo hivyo, tunatumia kwenye basic issues lakini uwezo wake ni zaidi ya hapo.
Internet ilipoanza stori za kutiana uowga kama hizi zilikuwa nyingi, kwahiyo ni kawaida kwa teknolojia mpya ikianza
Internet ilipoanza stori za kutiana uowga kama hizi zilikuwa nyingi, kwahiyo ni kawaida kwa teknolojia mpya ikianza