AI ndio inavyofanya kazi na ipo kwa kusudi hilo to take over..Kama ilivyo kwa smart phones matumizi yetu(utilization) ya madogo sana, yani basic kabisa ukilinganisha na uwezo wake. Ai vivyo hivyo, tunatumia kwenye basic issues lakini uwezo wake ni zaidi ya hapo.
Internet ilipoanza stori za kutiana uowga kama hizi zilikuwa nyingi, kwahiyo ni kawaida kwa teknolojia mpya ikianza
Ai ni nzuri sana ukiwa na ufahamu/ujuzi wa jambo fulani, itakusaidia kurahisisha ufanyaji kazi wako.AI ndio inavyofanya kazi na ipo kwa kusudi hilo to take over..
Kweli,, alafu limezoea kiswahili cha kenya lakini ukilielewesha linabwdilika kuashiria linaweza kujifunzaMkuu ya kweli haya? 😂
Sometimes lina cram hadi jina user.Kweli,, alafu limezoea kiswahili cha kenya lakini ukilielewesha linabwdilika kuashiria linaweza kujifunza
Ulipomaliza sentence yako ilibidi iwe sehemu ya post yangu...AI natumia kila siku sasa imenirahisishia shughuli zangu mno...
Technology ni kama maji usipoyanywa lazima utaogea..
Ni kujifunza jinsi ya kuishi nayo dunia inaenda mbele usibaki nyuma..
Watujua wao watakoshare sensitive information maana inaji-train kupitia data wanazotoa.
Actually wamesema kabisa don't share sensitive information
Linajifunza kwa kasi kinoma, ukilikosoa linajifunza chap na kuleta majibu sahihi na melezo kichele.Wakati siku ya Kwanza humu inapostiwa habari ya AI,haikua inatambua kiswahili,Ila Sasa hivi Kama mzaramo
Bado hujajua inavyofanya kazi, kwenye post nimeandika it's either ikupe jibu sawa unavyotaka,au I validate ulichosema..kwa swali lako Chatgpt yupo sahii..Rashrod ni winger wa Manchester United sio Aston Villa Ila now anacheza Aston Villa kwa mkopo,so hujakubali jibu la Kwanza Ila kakubali ulichosema..
A lost file indeed..!Bado hujajua inavyofanya kazi, kwenye post nimeandika it's either ikupe jibu sawa unavyotaka,au I validate ulichosema..kwa swali lako Chatgpt yupo sahii..Rashrod ni winger wa Manchester United sio Aston Villa Ila now anacheza Aston Villa kwa mkopo,so hujakubali jibu la Kwanza Ila kakubali ulichosema..
he's under contract with the red devil's
SureHii techie ya touchscreen wazungu wanayo tangu miaka ya 70, ulichosema wewe kimeelezewa kwenye movie ya Matrix..sisi tufate upepo Ila kesho ya dunia watu wanaijua
Ni kwamba linajifunza kwa kuona,kusikia na zaidi ya hapo linachambua na linapendekeza kwa mkuu wake!!!Wakati siku ya Kwanza humu inapostiwa habari ya AI,haikua inatambua kiswahili,Ila Sasa hivi Kama mzaramo
Mmh!!! Teh teh tehee, kweli geniusInaweza na tayari hipo ila bado binadamu ana mlango wa kuikontro AI .
Hii AI inavyo zidi kuboreka itakuwa 👉(NAFSI KAMILI TENA HURU)....
WANASAYANSI AWAJUI KUWA AI NI KUUNDA NAFSI TENA ILIYO NA UWEZO KULIKO NAFSI YA BINADAMU ...
MIMI KWA SABABU NI GENIUS NINAJUA NINI KINAKWENDA KUTOKEA ...HIVI PUNDE TUTAKUWA NA MAHAKIMU WA AI WENYE UWEZO MKUBWA WA KUTENDA HAKI NA TUTAKUWA NA MAPOLISI WA AI WENYE UWEZO MKUBWA WA KIPOLISI NA KIPEREREZI ....
AI = POWERFULL SOUL
Kabisa, ni lazima uwe na ABC ya kile ambacho unataka AI ikufanyie.Ai ni nzuri sana ukiwa na ufahamu/ujuzi wa jambo fulani, itakusaidia kurahisisha ufanyaji kazi wako.
Marekani Kuna wajinga kupitiliza and dumb American he's worse Zaidi ya Mtanzania wa CCMUS hata kama kumeendelea lakini hio idadi ya watu milioni 350, kuna wajinga zaidi ya nusu ya idadi ndio maana Elon Musk alijua hili na kuamua kufukuza kazi wengi sana