njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Wako vizuri vipaji si umeona uwanja huo haufai ujengwe wa kisasa haata wa watu 50,000 utasaidia mikoa ya jirani pia kama Kagera, geita, Tabora, Singida pia itasaidia kukuza vipaji na kukuza utalii wa mbuga ya Burigi.Wako vizuri...!! Haya wanahitaji sapoti gani!?
Tabora wana uwanja wa Al Hassan mwinyi Kwa ukubwa ni wa pili Tanzania baada ya uwanja wa mkapa he kuna maendeleo ya soka?Wako vizuri vipaji si umeona uwanja huo haufai ujengwe wa kisasa haata wa watu 50,000 utasaidia mikoa ya jirani pia kama Kagera, geita, Tabora, Singida pia itasaidia kukuza vipaji na kukuza utalii wa mbuga ya Burigi.
mbona hasira walikuwa na milambo imekufaje sasa nikiona chato fc nina hakika ndani ya miaka 5 ijayo watawakilisha nchi kimataifa vizuriTabora wana uwanja wa Al Hassan mwinyi Kwa ukubwa ni wa pili Tanzania baada ya uwanja wa mkapa he kuna maendeleo ya soka?
Na kwanini wajengewe chato tu kwani tunduma hakuna vipaji? Kwani kasulu hakuna vipaji
Acha ujinga hapa
Sema ulikua unatafuta views na kuleta ukida hapa
Wako vizuri vipaji si umeona uwanja huo haufai ujengwe wa kisasa haata wa watu 50,000 utasaidia mikoa ya jirani pia kama Kagera, geita, Tabora, Singida pia itasaidia kukuza vipaji na kukuza utalii wa mbuga ya Burigi.
ndio kinachofuataTFF wapewe amri hii timu ipelekwe ligi kuu.
Na marefa lazima waunge mkono juhudi kwa kutoa penalt kila mechi. Else watahojiwaNa ikishawekwa ligi kuu ichukue ubingwa.
Yaani chato wawakilishe nchi duuh, emu acha kuota, mpira unahitaji investment ya kutosha, mpira hautaki siasa, mpira hautaki makelele bila vitendo, Azam wameshindwa sembuse chatombona hasira walikuwa na milambo imekufaje sasa nikiona chato fc nina hakika ndani ya miaka 5 ijayo watawakilisha nchi kimataifa vizuri
TFF wapewe amri hii timu ipelekwe ligi kuu.