Chato FC wako vizuri wanahitaji support

Chato FC wako vizuri wanahitaji support

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Hawa jamaa nilishuhudia wakipigwa 4-0 last week na kutolewa kombe la shirikisho ila wanahitaji support kali watapanda daraja kitendo ambacho Geita Gold wamekishindwa miaka mingi,wapewe sapoti hawa vijana hata ya kujengewa uwanja. Mkubwa wa kisasa ili kupanua maendeleo ya soka na kuibua vipaji vilivyojificha.

Wako vizuri...!! Haya wanahitaji sapoti gani!?
Wako vizuri vipaji si umeona uwanja huo haufai ujengwe wa kisasa haata wa watu 50,000 utasaidia mikoa ya jirani pia kama Kagera, geita, Tabora, Singida pia itasaidia kukuza vipaji na kukuza utalii wa mbuga ya Burigi.
 
Tabora wana uwanja wa Al Hassan mwinyi Kwa ukubwa ni wa pili Tanzania baada ya uwanja wa mkapa he kuna maendeleo ya soka?

Na kwanini wajengewe chato tu kwani tunduma hakuna vipaji? Kwani kasulu hakuna vipaji

Acha ujinga hapa

Sema ulikua unatafuta views na kuleta ukida hapa
 
mbona hasira walikuwa na milambo imekufaje sasa nikiona chato fc nina hakika ndani ya miaka 5 ijayo watawakilisha nchi kimataifa vizuri
 
Wako vizuri vipaji si umeona uwanja huo haufai ujengwe wa kisasa haata wa watu 50,000 utasaidia mikoa ya jirani pia kama Kagera, geita, Tabora, Singida pia itasaidia kukuza vipaji na kukuza utalii wa mbuga ya Burigi.

😀😀😀😀😀👍
 
mbona hasira walikuwa na milambo imekufaje sasa nikiona chato fc nina hakika ndani ya miaka 5 ijayo watawakilisha nchi kimataifa vizuri
Yaani chato wawakilishe nchi duuh, emu acha kuota, mpira unahitaji investment ya kutosha, mpira hautaki siasa, mpira hautaki makelele bila vitendo, Azam wameshindwa sembuse chato
 
Back
Top Bottom