Chato inafaa kujengwa Ikulu kubwa baada ya Dar es Salaam

 
800%[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na makao makuu ya EAC yahamishiwe huko pia? Au yabaki Arusha?
 

Makao Makuu ya Nchi yatabaki kuwa Dodoma na Ikulu ni Dar es salaam na Chamwino Dodoma nyinyi jengeni Hotel tu ili mtumie vizuri Ziwa Victoria kwa Utalii na Hifadhi za Rubondo na Burigi
 
Nawaza hapa sijui itakua mwaka gani Rais atakaeingia madarakani,kabla ya kufanya chochote aite wabunge wote wa upinzani na chama tawala,maprofesa wa vyuo vikuu,wafanya biashara wakubwa na wadogo,wakuu wa vyombo vya usalama wa nchi yetu na kila mdau wakulima,wafugaji nk

Halafu lengo liwe kujadili mustakabali wa nchi yetu zitungwe sheria kali na rafiki kwa nchi yetu,ziwekwe sera hata 5 kwa kipindi cha miaka 100 mfano kama ni viwanda,kilimo na elimu basi Rais yeyote atakayeingia madarakani aende na sera hizo hizo kazi yake itakua kuzifanyia maboresho hii itasaidia kuondoa ile hali kila raisi atakayeingia madarakani kuja na mambo yake inakua tunaanza upya kila miaka 10.

Nawaza tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna umri mtu ukifika yakupasa kutumia busara zaidi kuliko hisia.
 
Kawanyoodha na bad
Ila magufuli ana dharau yaani kahamisha Ikulu kienyeji alafu anajibu kirahisi kwani nkifa ntazikwa wapi,,Anasahau akifa sisi hatuna haja na maiti yake tunaweza kutupa hata baharini awe chakula cha Nyangumi
Kawanyoosha na bado chuma hicho.
 
Kwa mpango huu, kila Rais akifanya, utakuta tumejenga Tanzania yote kuwa Ikulu. Marais wenye jmla ya Mikoa yote mara mbili,watakuwa Marais zaidi ya 500. kila mmoja ajenge, utapata kila jirani yako humu Tanzania ni Ikulu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…