Chato inafaa kujengwa Ikulu kubwa baada ya Dar es Salaam

Akili mlishakakabidhi ka Polepole mmebaki na makopo tu kichwani!
 
Aisee Hii Hatutakaa Tupate Maendeleo

Nyerere alikaa zake msasani na kuendesha nchi bila woga leo watu wanawaza ulinz tu rais kama unatenda haki ulinzi mkubwa wa nini?
 
Embu ondoa hiyo robo tatu ya raia wanapatikana Chato alafu ukaiweka na hiyo mikoa...Chato kihistoria si sehemu ya hiyo mikoa bali ndugu zake ni Kagera na watu wa pale ni mchanganyiko wa wasukuma, wazinza, wakerewe kiufupi vuluvulu hata hao wasukuma wa huko wengine wamerithi tu kabila kutokana na kujua kuongea
 
Hiyo Kenya kilometre 60? duuh, najaribu kuwapa madogo home work
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…