state agent
JF-Expert Member
- Jul 1, 2019
- 1,764
- 2,510
Weka hii kichwani ,usibishane na mimi hili jambo ndio sababu ya mipango mikubwa kuiinua chato iwe juu na ikidhi hadhi ya mkoa,
Hii niliiambiwa na mkuu mmoja kazini nikiwa ziarani kanda ya ziwa yafuatayo lazima yafanyike:
Idadi ya watu mpaka sasa mkuu ametaka watu kuzaa sana hasa huku kanda ya ziwa wilaya zote zilizo karibu na chao.
Kuongeza vyanzo vya mapato vya uhakika hili ndio liko katika mkakati mkubwa na wanachato wanajua
Mikoa ya Kigoma ,Geita yenyewe na kagera itakatwa kuunda wilaya za Nyakanazi,Bukombe,Biharamulo, buseresere na maeneo ya Muleba yatahusishwa .
Kama unaswali weka hapa nikujibu,