Samwel Ngulinzira
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,829
- 1,972
Kuhusu kuunda mkoa mpya Nyakanazi, Kakonko na Ngara ilishapendekezwa na wabunge waunde mkoa kwa kua maeneo haya yako mbali sana na makao makuu ya mikoa husika makao makuu yalipendekezwa yawe Nyakanazi.Mikoa ya Kigoma ,Geita yenyewe na kagera itakatwa kuunda wilaya za Nyakanazi,Bukombe,Biharamulo, buseresere na maeneo ya Muleba yatahusishwa .
Kama unaswali weka hapa nikujibu
Kama makao makuu yatakua Chato itakua ni tatizo sana kwa kua kijiografia kutoka Chato hadi Kakonko itakua mbali sana.
Labda makao makuu ya Geita yakihamia Chato majengo ya Geita yakageuka shule au hospitali.
Zitto