state agent
JF-Expert Member
- Jul 1, 2019
- 1,764
- 2,510
Siamini kama Malaika atawachia kiti baada miaka 10 tusubir hadi 2050 tena rabda huenda akaomba kupumzika na hapo atakua keshaanzisha Malaika kama 20 wakumrithi na wakuja mlinda!Weka hii kichwani ,usibishane na mimi hili jambo ndio sababu ya mipango mikubwa kuiinua chato iwe juu na ikidhi hadhi ya mkoa,
Hii niliiambiwa na mkuu mmoja kazini nikiwa ziarani kanda ya ziwa yafuatayo lazima yafanyike:
Idadi ya watu mpaka sasa mkuu ametaka watu kuzaa sana hasa huku kanda ya ziwa wilaya zote zilizo karibu na chao.
Kuongeza vyanzo vya mapato vya uhakika hili ndio liko katika mkakati mkubwa na wanachato wanajua
Mikoa ya kigoma ,geita yenyewe na kagera itakatwa kuunda wilaya za nyakanazi,bukombe,biharamulo, buseresere na maeneo ya mureba yatahusishwa .
Kama unaswali weka hapa nikujibu,
( CHAUSTA)Safi sana, ajenge na chuo kikuu kikubwa kama cha UDSM Chato, iitwe Chato Unuversity of Science and Technology (CHAUST). Lazima nihamie Chato aisee
Weka hii kichwani ,usibishane na mimi hili jambo ndio sababu ya mipango mikubwa kuiinua chato iwe juu na ikidhi hadhi ya mkoa,
Hii niliiambiwa na mkuu mmoja kazini nikiwa ziarani kanda ya ziwa yafuatayo lazima yafanyike:
Idadi ya watu mpaka sasa mkuu ametaka watu kuzaa sana hasa huku kanda ya ziwa wilaya zote zilizo karibu na chao.
Kuongeza vyanzo vya mapato vya uhakika hili ndio liko katika mkakati mkubwa na wanachato wanajua
Mikoa ya Kigoma ,Geita yenyewe na kagera itakatwa kuunda wilaya za Nyakanazi,Bukombe,Biharamulo, buseresere na maeneo ya Muleba yatahusishwa .
Kama unaswali weka hapa nikujibu,
kitajengwa kijiji cha nyang'homango na kanyama. litakuwa bonge la chuoSafi sana, ajenge na chuo kikuu kikubwa kama cha UDSM Chato, iitwe Chato Unuversity of Science and Technology (CHAUST). Lazima nihamie Chato aisee
Weka hii kichwani ,usibishane na mimi hili jambo ndio sababu ya mipango mikubwa kuiinua chato iwe juu na ikidhi hadhi ya mkoa,
Hii niliiambiwa na mkuu mmoja kazini nikiwa ziarani kanda ya ziwa yafuatayo lazima yafanyike:
Idadi ya watu mpaka sasa mkuu ametaka watu kuzaa sana hasa huku kanda ya ziwa wilaya zote zilizo karibu na chao.
Kuongeza vyanzo vya mapato vya uhakika hili ndio liko katika mkakati mkubwa na wanachato wanajua
Mikoa ya Kigoma ,Geita yenyewe na kagera itakatwa kuunda wilaya za Nyakanazi,Bukombe,Biharamulo, buseresere na maeneo ya Muleba yatahusishwa .
Kama unaswali weka hapa nikujibu,
Usiishie tu kusema ni uongo!Du yajayo yanafurahisha . Huu ni uongo wa Hali ya juu
Chato for presidentWeka hii kichwani ,usibishane na mimi hili jambo ndio sababu ya mipango mikubwa kuiinua chato iwe juu na ikidhi hadhi ya mkoa,
Hii niliiambiwa na mkuu mmoja kazini nikiwa ziarani kanda ya ziwa yafuatayo lazima yafanyike:
Idadi ya watu mpaka sasa mkuu ametaka watu kuzaa sana hasa huku kanda ya ziwa wilaya zote zilizo karibu na chao.
Kuongeza vyanzo vya mapato vya uhakika hili ndio liko katika mkakati mkubwa na wanachato wanajua
Mikoa ya Kigoma ,Geita yenyewe na kagera itakatwa kuunda wilaya za Nyakanazi,Bukombe,Biharamulo, buseresere na maeneo ya Muleba yatahusishwa .
Kama unaswali weka hapa nikujibu,
Du yajayo yanafurahisha . Huu ni uongo wa Hali ya juu