Tetesi: Chato kutangazwa mkoa kabla awamu ya tano haijamaliza muda wake

Mikoa ya Kigoma ,Geita yenyewe na kagera itakatwa kuunda wilaya za Nyakanazi,Bukombe,Biharamulo, buseresere na maeneo ya Muleba yatahusishwa .

Kama unaswali weka hapa nikujibu
Kuhusu kuunda mkoa mpya Nyakanazi, Kakonko na Ngara ilishapendekezwa na wabunge waunde mkoa kwa kua maeneo haya yako mbali sana na makao makuu ya mikoa husika makao makuu yalipendekezwa yawe Nyakanazi.
Kama makao makuu yatakua Chato itakua ni tatizo sana kwa kua kijiografia kutoka Chato hadi Kakonko itakua mbali sana.
Labda makao makuu ya Geita yakihamia Chato majengo ya Geita yakageuka shule au hospitali.
Zitto
 

Kwa taarifa za chini chini ni kuwa namba moja hajawahi kukubalika pale Geita... Ndo maana anajitengenezea mbingu yake pale Chato..
 
 
Namlaumu sana aliyetenganisha jimbo la biharamulo na kuanzisha jimbo la biharamulo magharibi na mashariki, baada ya hapo akaanzisha jimbo la chato na baadae wilaya ya chato. hakuishia hapo, baadae akaanzisha mkoa wa geita. huyu mtu aliyefanya hayo yote ndiye chanzo cha yote tunayoyaona sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…