Tetesi: Chato kuwa mkoa mpya na jina la mkoa kutangazwa soon na Chato kuwa makao makuu ya mkoa mpya

Kudadeki hili naweza kuliamini kwa zaidi ya 99% maana mambo yanayoendelea kule chattle siyaelewi kabisa
International airport
Hospital ya rufaa
Taa za kuongoza magari
Crdb branch
Vyote hivyo vinafanywa bila bajeti kupitishwa na bunge wala nini[emoji23][emoji23]

Hapa ndio tunapata picha kuhusu Mwl. Nyerere
 
Ahhahahhaaa, mkuu , Mambo vipi ..!! Umetaja nyumbani huko mkuu daaah ,
Umenikuna aisee , na wewe ni huko ??

Nimepita hivyo vijiji Mara kadhaa mpaka Mkongoro, bitale Miaka mingi sana wakati tunakimbiza Mwenge!
 
Kivip sasa wakati marais ni watano tu na mikoa ni zaidi ya 20[emoji15] [emoji15]
 
JENGO LA TRA
 
hakuna shida maendeleo yasogee karibu kwa watu, ruangwa hapana mkoa uwe masasi ruangwa, nachingwea, nanyumbu na tunduru ziwe ndani ya mkoa wa masasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…