kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Katika kutungua eneo la kanda ya ziwa especially mkoa wa kagera na Geita naunga mkono juhudi za serikali kutengeneza maeneo yamkakati na yakudumu katika eneo lile.
Ujenzi wa uwanja, mbuga ya wanyama, vyuo na majengo yenye adhi zikiwemo hotel kutasiadia sana kupunguza uhalifu kwa maana ulinzi utaimarishwa lakini pia kutawaondoa wakaazi wa ukanda ule kwenye lindi la umaskini. Tufungue maeneo ya kibishara kupainua kwa ustawi wa Taifa letu huku tukiwalenga Warundi, Rwanda na Uganda Kama soko letu ya biashara na utalii.
Ila pia mkoa wa Mtwara, Lindi na Ruvuma ni wakati Sasa wakuinuliwa kujenga usawa wa maendeleo wa kanda tano za nchi yetu. Majaliwa anza Sasa kutengeneza maeneo ya uwekezaji ili miaka yako kumi ya Urais umalizie kuinua ukanda huo. Usifungwe na maneno ya watu ukakataa nyumbani kwa sababu utojenga kwa ajili yako Bali unajenga kwenye ardhi y Tanzania na kila Mtanzania ana haki yakufaidi matunda ya miundombinu utakayoweka.
Simamia gesi iwanufaishe Wana kusini na iwalete kanda nyingine kusini kuja kufanya kazi na kujipatia kipato. Ukishindwa kuendeleza ukanda huo, ukashindwa kuwatetea naamini utakuwa unatenda dhambi, miaka mingi wananchi wa kusini wameteseka tuwainue Sasa kwani kanda nyingine zimeshaanza kujisimamia.