Chato ni sehemu nzuri ujenzi wa vyuo na uwekezaji mwingine, karibu

True ningeshauri kuwepo na mradi wa kuchimba mto tuyatoe maji bahari ya hindi Hadi Chato Ili Bandari kuu iwe Chato kusudi meli zote zitokazo nje ziweze fika huko. Itasaidia Sana kuinua uchumi wa juu toka Kati.
 
πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜‚wamelijenga kusini huko mikoa ya Lindi.
Nimecheekaaah! Ila inafikirisha SANA, bado mabalozi kupewa viwanja Chato.

Everyday is Saturday................................😎
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…