Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Nyie walamba asali mpo kimyaHao siyo chadema ni sukuma gang wanaompinga mama. Tunawajua acha wavune walichopanda
Hao ni Sukuma Gang waminywe korodani kabisaNyie walamba asali mpo kimya
Inadaiwa tangu vurugu za kuchoma moto kituo cha polisi Muganza zitokee paranja lilipita na kamata kamata ikafanyika. Viongozi wa Chadema inasadikiwa walishawishi wananchi kufanya vurugu.
Wanasota rumande wamenyimwa dhamana. Leo hii zaidi ya wiki na na siku kadhaa wameshonwa nyavuni
Mbowe yupo kimya.
Hizi siasa hazifai.
Tulipoteswa na mwendazake na nyie mlikuwa kimya. Thats karmaNyie walamba asali mpo kimya
Chama hakina watu!Inadaiwa tangu vurugu za kuchoma moto kituo cha polisi Muganza zitokee paranja lilipita na kamata kamata ikafanyika. Viongozi wa Chadema inasadikiwa walishawishi wananchi kufanya vurugu.
Wanasota rumande wamenyimwa dhamana. Leo hii zaidi ya wiki na na siku kadhaa wameshonwa nyavuni
Mbowe yupo kimya.
Hizi siasa hazifai.
Muuza Kangara,umechangia nini au lawama kwa wengine tu.Inadaiwa tangu vurugu za kuchoma moto kituo cha polisi Muganza zitokee paranja lilipita na kamata kamata ikafanyika. Viongozi wa Chadema inasadikiwa walishawishi wananchi kufanya vurugu.
Wanasota rumande wamenyimwa dhamana. Leo hii zaidi ya wiki na na siku kadhaa wameshonwa nyavuni
Mbowe yupo kimya.
Hizi siasa hazifai.
Are you sure kuwa wananchi waliokamatwa ndio waliochoma kituo?Chadema haijamtuma mtu kuchoma kituo cha polisi, na kama Kuna mwanachadema kafanya huo upuuzi basi acha Sheria ifuate mkondo wake...