Chato: Wananchi hawamtaki Manunga awe mwenyekiti wa halmashauri. CCM Taifa wanalazimisha

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,268
Reaction score
7,119
Kura zilipogwa kwa uwazi na Diwani Kapembe kushinda kwa aslimia 70.

Manunga alishawachosha watu wa Chato. Anatuhuma nyingi sana ikiwemo ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi.

Kapembe ameahinda kwa kura nyingi. Kwa nini Manunga anapigiwa debe ?
 
CCM ni ile ile! kuanzia uraisi hadi kitongoji! kazi kupangiwa viongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…