Dodoma imebuma sasa mwendo ni Chato,hata hivyo sijaelewa mantiki ya kuweka kila kitu Chato.Hasa wakati miradi ya kujenga Mji mkuu Dodoma,Bwawa la Nyerere, SGR,Daraja la Busisi,bado haijakamilika.
Baada ya kuitangaza Serengeti mkoani mara yenye mbuga kubwa Zaidi Africa ambayo imewahi kuwa among the seven wonders of the world Leo ChatoWaziri wa Utalii na Maliasili, Dkt. Damas Ndumbaro akiwa ziarani Mkoani Geita ametangaza rasmi kuwa Chato ndio kitovu cha Utalii Kanda ya Ziwa
Amesema wamefikia uamuzi huo kwasababu kuna Utalii wa aina mbalimbali katika Wilaya hiyo ikiwemo wa Misitu, Maji, Hifadhi za Taifa na Uwindaji. Pia, Uwanja wa Ndege wa Chato utawezesha Watalii kusafiri kwa uhakika na urahisi
Vilevile, Waziri Ndumbaro ameielezea Chato kuwa eneo tulivu, hali ambayo inapendwa na Watalii.
The young bird does not crow until it hears the old ones.Sijui huyu Ndumbaro ana PhD ya ushuzi? Kwani hata kama Magufuli alikupa ubunge wa bure na uwazirí wa utalii lazima alipe fadhila kwa kujipendekeza kizembe namna hiyo?
Zote alizotoa kama sababu za Chato uwa kanda ya Utalii ni pumba tupu. Hamna hata moja inayozidi maeneo mengine kwenye kanda ya ziwa.
Hawa akina Ndumbaro baada ya utawala huu wa Magufuli ni moja kati ya mambo tutaomba vyuo vilivyowapa hizo PhD wazi NULLIFY, yaani WAZIFUTE
Fafanua vizuri, hadhi kuliko Bugando unamaanisha majengo, madaktari wa chato NI mahiri kuliko wa Bugando, vifaa tiba ni vya kisasa zaidi ya Bugando na Wana uwezo wa kutibu maradhi ambayo Bugando hawawezi au una maanisha kitu gani hasa inaizidi Bugando ili tuweze kwenda huko chato badala ya Bugando.Chato ni bab kubwa, yaani unaambiwa hospitali ya Chato Ina hadhi ya juu kuliko Bugando.
Duwa la kuku Hilo, badala ya kuchangia mjadala upendekeze Cha kufanya ili haya maupendeleo yasiendelee wananchi tukuelewe wewe unakuja na utani.Hana akili kabisa.
Hii nchi zaidi 85% ya watalii huwa wanakuja kwa ajili ya mbuga ya Serengeti tu, kisha Ngorongoro 5% na mbuga nyingine zote combined ndio wanachangia 10% halafu leo uje kuweka Chato kitovu cha utalii?
Sasa naona kwa kuwa Chato ndio kila kitu sasa, naomba tuwasaidie kupendekeza ni vitu gani vipelekwe Chato.
UDSM, IFM, UDOM, UN, World Bank, IMF, na taasisi zote kubwa naomba zihamie Chato ili tuifanye Chato kua "Calafonia" ya Afrika.
Chato kujengwe kituo kikubwa cha kijeshi, Chato waweke deport kubwa ya magari, Chato kujengwe viwanda vikubwa vya ndege, Boeing wajenge kiwanda Chato, Toyota ijenge kiwanda kikubwa cha magari. Muhimbili wahamie Chato.
Nashauri Dunia iitazame Chato kwa jicho la pekee sana.
Mmerogwa na Mbowe na kweli anawacheka akiwaambia muandamane mnakimbilia kwenye keyboard.Yaani siamini nachokisoma, sijui tulilogwa na nani, mtu mzima na akili zake anasema kuna utalii wa maji! Mbona yapo dunia nzima?
Huyo alietuloga sasa hivi amekaa mahali anatucheka kweli.
Utalii wa upendeleo ukanda na ubaguzi wa kikabila au sio ?Waziri wa Utalii na Maliasili, Dkt. Damas Ndumbaro akiwa ziarani Mkoani Geita ametangaza rasmi kuwa Chato ndio kitovu cha Utalii Kanda ya Ziwa
Amesema wamefikia uamuzi huo kwasababu kuna Utalii wa aina mbalimbali katika Wilaya hiyo ikiwemo wa Misitu, Maji, Hifadhi za Taifa na Uwindaji. Pia, Uwanja wa Ndege wa Chato utawezesha Watalii kusafiri kwa uhakika na urahisi
Vilevile, Waziri Ndumbaro ameielezea Chato kuwa eneo tulivu, hali ambayo inapendwa na Watalii.
Hapa bongo wenye PHd wengi ni kama plain paper tena wamejazana kwenye ofsi za umma wanakula bure pesa za umma wakati output zao ni almost zero.Sijui huyu Ndumbaro ana PhD ya ushuzi? Kwani hata kama Magufuli alikupa ubunge wa bure na uwazirí wa utalii lazima alipe fadhila kwa kujipendekeza kizembe namna hiyo?
Zote alizotoa kama sababu za Chato uwa kanda ya Utalii ni pumba tupu. Hamna hata moja inayozidi maeneo mengine kwenye kanda ya ziwa.
Hawa akina Ndumbaro baada ya utawala huu wa Magufuli ni moja kati ya mambo tutaomba vyuo vilivyowapa hizo PhD wazi NULLIFY, yaani WAZIFUTE
Mbowe anaingiaje hapa?Mmerogwa na Mbowe na kweli anawacheka akiwaambia muandamane mnakimbilia kwenye keyboard.
unashindwa kuwa muelewa.sawa serenget,ni kivutio pekee dunian.ila unafikir mtalii huwa mda wote anaangalia wanyama?Siyo Mara kwenye Serengeti?