Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,566
Unaishi wapi? Ofisi zimeshazinduliwa tayari!Dr Ndumbaro, tangazo hilo la kufanya Chato kituo cha utalii liendane na kujenga ofisi kubwa hapo ya Kanda ya ziwa ya TTB/TANAPA kutangaza utalii. Hapo utakuwa umeweka uendelevu wa kivutio hicho. Hili ni muhimu mno.