Chato yatangazwa kuwa kitovu cha Utalii Kanda ya Ziwa

Chato yatangazwa kuwa kitovu cha Utalii Kanda ya Ziwa

19066092.jpg
 
Eti Chato ni eneo tulivu inapendwa na watalii, kumbe Tanzania siku hizi sio kisiwa cha amani tena, amani iko Chato!.
Watasubiri sana kuweza kumshawishi mzungu kwenda huko
 
Hata mbuyu ulianza kama uyoga!!

Serengeti, Ngorongoro, mikumi na manyara hivi zilianzaje mkuu?

Ngoja tufuatilie historia kama maeneo hayo yaliwahi kutoa Rais ndio itakuwa sababu ya kuwa na hizo mbuga.

Yaani hata marais waliopita kwa haya yanaoendelea Chato wanajiuliza wao walikwama wapi, wakati unaweza kufanya chochote kwako kwa upendeleo wa wazi na watu wakatengeza chorus wenyewe za kukupamba.
 
Hana akili kabisa.

Hii nchi zaidi 85% ya watalii hua wanakuja kwa ajili ya mbuva ya Serengeti tu, kisha Ngorongoro 5% na mbuga nyingine zote combined ndio wanachangia 10% halafu leo uje kuweka chato kitovu cha utalii?....
Magufuli anatengeneza Gbadolite ya Tanzania kama Mobutu Seseseko alivyofanya.
 
eti chato kuna vivutio vingi vya utalii ikiwepo utalii wa maji na utalii wa mashamba ya miti pia Chato kuna amani na utulivu sana kitu ambacho kinawavutia sana watalii [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] inashangaza na kuchekesha.
 
Waziri wa Utalii na Maliasili, Dkt. Damas Ndumbaro akiwa ziarani Mkoani Geita ametangaza rasmi kuwa Chato ndio kitovu cha Utalii Kanda ya Ziwa...
Woyooooooo

Chato kama Chato yaani.

Si kwa hifadhi ile ile ya Burigi ambayo wanyama kutokea maeneo mbalimbali nchini walisafirishwa usiku na mchana kupelekwa huko? Huku Serikali hii ikishindwa kuhamisha watumishi kwa kuwalipa fedha za Uhamisho?

Safi Sanaaaaa yaaani
 
Back
Top Bottom