Mongasa Member Joined Jul 3, 2019 Posts 74 Reaction score 73 Aug 22, 2020 #301 Torch said: Aisee peter serukamba angalia unaweza usirudi bungeni Click to expand... Yametimia
Haiku JF-Expert Member Joined Mar 31, 2018 Posts 2,915 Reaction score 2,050 Aug 22, 2020 #302 Ushimen said: Mbona wana hangaika sana...!!?? Nashauri na makao makuu ya nchi yahamishiwe huko pia... Click to expand... 😃😃
Ushimen said: Mbona wana hangaika sana...!!?? Nashauri na makao makuu ya nchi yahamishiwe huko pia... Click to expand... 😃😃
Shoctopus JF-Expert Member Joined Dec 29, 2015 Posts 3,434 Reaction score 1,985 Aug 22, 2020 #303 Solution ni kuboresha afya za wananchi magonjwa yapungue
T Tigershark JF-Expert Member Joined Oct 9, 2018 Posts 7,051 Reaction score 12,566 Jan 12, 2021 #304 Mpuretamu said: Baada ya Waziri Ummy kueleza hayo, baadhi ya wajumbe wa kamati hiyo inayoongozwa na Mbunge wa Kigoma Kaskazini (CCM), Peter Serukamba walicheka. Click to expand... Daah,ilikuwa kama utani kumbe kweli!
Mpuretamu said: Baada ya Waziri Ummy kueleza hayo, baadhi ya wajumbe wa kamati hiyo inayoongozwa na Mbunge wa Kigoma Kaskazini (CCM), Peter Serukamba walicheka. Click to expand... Daah,ilikuwa kama utani kumbe kweli!
M Mpuretamu JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 1,376 Reaction score 2,285 Jan 13, 2021 #305 Tigershark said: Daah,ilikuwa kama utani kumbe kweli! Click to expand... Na bado mengi mazuri yako njiani yanakuja
Tigershark said: Daah,ilikuwa kama utani kumbe kweli! Click to expand... Na bado mengi mazuri yako njiani yanakuja
T Tigershark JF-Expert Member Joined Oct 9, 2018 Posts 7,051 Reaction score 12,566 Jan 13, 2021 #306 Mpuretamu said: Na bado mengi mazuri yako njiani yanakuja Click to expand... Sijui sisi Kigoma tutapata Rais aliyezaliwa huku lini?
Mpuretamu said: Na bado mengi mazuri yako njiani yanakuja Click to expand... Sijui sisi Kigoma tutapata Rais aliyezaliwa huku lini?
M Mpuretamu JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 1,376 Reaction score 2,285 Jan 13, 2021 #307 Tigershark said: Sijui sisi Kigoma tutapata Rais aliyezaliwa huku lini? Click to expand... Akipatikana mumuombee apende home kwake
Tigershark said: Sijui sisi Kigoma tutapata Rais aliyezaliwa huku lini? Click to expand... Akipatikana mumuombee apende home kwake
T Tigershark JF-Expert Member Joined Oct 9, 2018 Posts 7,051 Reaction score 12,566 Jan 13, 2021 #308 Mpuretamu said: Akipatikana mumuombee apende home kwake Click to expand... Sio apende,tutaomba apendelee alikozaliwa na miradi mingi aelekeze Kigoma! Akiwa mbishi na kujifanya mzalendo,tutamuonesha kwa mifano awamu ya 5 ilivyofanya bila consequences!
Mpuretamu said: Akipatikana mumuombee apende home kwake Click to expand... Sio apende,tutaomba apendelee alikozaliwa na miradi mingi aelekeze Kigoma! Akiwa mbishi na kujifanya mzalendo,tutamuonesha kwa mifano awamu ya 5 ilivyofanya bila consequences!