Tetesi: CHAUMMA, ACT na CCM mtandao na polisi muda wowote kuitisha press , kujaribu kumponda captain Tesha !!

Watulie wawe wakimya ndio kwanza tupo kwenye foreplay hata pakti hazijaanza kuchanwa
1759587667633.png
 
Hao watakaoitisha Press ndo Wanajeshi wataanza nao pale Jeshi litakapochukua nchi.

Enough is Enough CCM wametufanya wajinga sana na kuliharibu sana hili Taifa.

Jeshi lichukue nchi na tuanze upya.
 
Wameshapoteana
Tunaendelea kuwaonya ,Wote wanaotumika kuwakamdamiza Wananchi.

Nyinyi mnaojifanya Wasaniii, kuita vyombo vya habari, kujaribu kuwasonga songa watu wanaosimamia Kweli.

Jishikilieni Jishikilieni !!.
 
we jamaa bana, kwahiyo hata huu utulivu mwembamba wakupumua tulionao unataka uondoke sio. Ni bora tuendelee na CCM kuliko hao wahuni.
 
Utulivu tulionao utaendelea tu ila hakutakuwa na utulivu kwenu nyie Mafisadi na Familia zenu.
 
acha mihemko mkuu, utawala wa kijeshi sio kitu cha kushabikia. nchi nyingi za kiafrika zimekumbana na hilo janga
 
Kagame mbona anainyoosha Rwanda?

Traore mbona anafanya vizuri Bukrina Faso?

Tulipofika Tanzania hakuna njia nyingine ya kutoka hapa zaidi ya Jeshi kusimamia na kuongoza Tansition kuelekea Taifa jipya lenye Katiba imara.
 
acha kubebwa na propaganda za YouTube na twiter mkuu. Kagame ni raisi mwaka wa 25 amenyoosha nini zaidi ya kutawala kimabavu? ameshapoteza maelfu ya wapinzani wake nchini toka aanze kutawala.
huyo Troure juzi nae amefuta tume ya uchaguzi.
 
Wwwe nimeshakushauri. Tafuta ndege ya kutoroka na familia yako. Watanzania tunalikomboa Taifa letu hiyo October 29.
 
Waache wamchokonoe ukombozi uwahi 😹
 
Tunaendelea kuwaonya ,Wote wanaotumika kuwakamdamiza Wananchi.

Nyinyi mnaojifanya Wasaniii, kuita vyombo vya habari, kujaribu kuwasonga songa watu wanaosimamia Kweli.

Jishikilieni Jishikilieni !!.
Waache tumepata msemo mpya kila taarifa yao ni AI
 
Back
Top Bottom