gstar
JF-Expert Member
- Jun 19, 2011
- 825
- 1,519
Kumuweka mgombea wa uraisi eti Salum Mwalimu. Geresha hii, haya makapi yaliyojichuja kutoka CHADEMA yataambia nini wananchi ili wawaamini? Watanzania sio wajinga kuwahadaa kwa maneno ya uwongo wakati tunajua mchongo mzima.
Anayewacontrol ni mama kizimkazi lengo kuwahadaa mataifa ya magharibi eti Tanzania kuna demokrasia. Demokrasia bila CHADEMA? Ndio maana Polepole haachi kuwaita nyinyi kuwa ni Wahuni. Na niwahuni kweli.
Haya mbariki huo uovu ilhali Watanzania hatusikii la muazini Wala la mnadi swala. Tumewaacha na ujinga wenu fanyeni mnachotaka sisi yetu macho maana hakuna wa kuandamana hapa eti mumtoe chambo awe mfano wa kuigwa. Mungu ndiye mhukumu wa mwisho.