Mara paap, kimujiza anakuwa rais!Kumuweka mgombea wa uraisi eti Salum Mwalimu. Geresha hii, haya makapi yaliyojichuja kutoka CHADEMA yataambia nini wananchi ili wawaamini? Watanzania sio wajinga kuwahadaa kwa maneno ya uwongo wakati tunajua mchongo mzima.
Anayewacontrol ni mama kizimkazi lengo kuwahadaa mataifa ya magharibi eti Tanzania kuna demokrasia. Demokrasia bila CHADEMA? Ndio maana Polepole haachi kuwaita nyinyi kuwa ni Wahuni. Na niwahuni kweli.
Haya mbariki huo uovu ilhali Watanzania hatusikii la muazini Wala la mnadi swala. Tumewaacha na ujinga wenu fanyeni mnachotaka sisi yetu macho maana hakuna wa kuandamana hapa eti mumtoe chambo awe mfano wa kuigwa. Mungu ndiye mhukumu wa mwisho.
Hakuna huo kuujiza kama wa pastor Toni kujaza gesi Kwa kupulizaMara paap, kimujiza anakuwa rais!
CHAUMMA kimevunja katiba ya nchi kwa kubagua Watanzania tusioamini Mungu na kuweka msingi wa kidini kwenye uanachama wake, kikatiba, kuwa wanachama wake wanatakiwa kuwa waamini wa Mungu.Kumuweka mgombea wa uraisi eti Salum Mwalimu. Geresha hii, haya makapi yaliyojichuja kutoka CHADEMA yataambia nini wananchi ili wawaamini? Watanzania sio wajinga kuwahadaa kwa maneno ya uwongo wakati tunajua mchongo mzima.
Anayewacontrol ni mama kizimkazi lengo kuwahadaa mataifa ya magharibi eti Tanzania kuna demokrasia. Demokrasia bila CHADEMA? Ndio maana Polepole haachi kuwaita nyinyi kuwa ni Wahuni. Na niwahuni kweli.
Haya mbariki huo uovu ilhali Watanzania hatusikii la muazini Wala la mnadi swala. Tumewaacha na ujinga wenu fanyeni mnachotaka sisi yetu macho maana hakuna wa kuandamana hapa eti mumtoe chambo awe mfano wa kuigwa. Mungu ndiye mhukumu wa mwisho.
Salum mwalimu mgombea Urais toka chauma ubwabwa chama mchepuko wa ccm huenda ndiyo mgombea wa hovyo kupita wote wanaogombea kwenye Uchaguzi feki wa maigizo, kwani Sifa kuu za Salum mwalimu ni Ufusika uzinzi umbea unafiki uliopitiliza aliwamaliza covid 19 kwa kuwazalisha Watoto hovyo hovyo na sasa atazaa na binti wa Hashim Rungwe na kote atapozunguka wajiandae, kwa kifupi Salum mwalimu ni kajitu ka hovyo sana hakana hadhi ya kugombea Urais, hadhi yake ni kuwa mpiga kura tuKumuweka mgombea wa uraisi eti Salum Mwalimu. Geresha hii, haya makapi yaliyojichuja kutoka CHADEMA yataambia nini wananchi ili wawaamini? Watanzania sio wajinga kuwahadaa kwa maneno ya uwongo wakati tunajua mchongo mzima.
Anayewacontrol ni mama kizimkazi lengo kuwahadaa mataifa ya magharibi eti Tanzania kuna demokrasia. Demokrasia bila CHADEMA? Ndio maana Polepole haachi kuwaita nyinyi kuwa ni Wahuni. Na niwahuni kweli.
Haya mbariki huo uovu ilhali Watanzania hatusikii la muazini Wala la mnadi swala. Tumewaacha na ujinga wenu fanyeni mnachotaka sisi yetu macho maana hakuna wa kuandamana hapa eti mumtoe chambo awe mfano wa kuigwa. Mungu ndiye mhukumu wa mwisho.
Haitakaa itokee hiyo hata kama angekuwa na majini 10000000000000000 yampigie kuraMara paap, kimujiza anakuwa rais!
Pamoja sana mkuu, japo kuamini kuwa ushauri wako utafanyiwa kazi ni sawa tu na kuamini katika diniCHAUMMA kimevunja katiba ya nchi kwa kubagua Watanzania tusioamini Mungu na kuweka msingi wa kidini kwenye uanachama wake, kikatiba, kuwa wanachama wake wanatakiwa kuwa waamini wa Mungu.
Hivyo kimekuwa chama kinachobagua watu kidini na kuingilia uhuru wa watu wa kikatiba ya nchi na kibinadamu wa kutoamini katika Mungu na dini.
Hivyo kimevunja katiba ya nchi na kinatakiwa kisimamishiwe usajili mpaka kirekebishe mapungufu haya ya kikatiba.
Kiranga Mkulu
Katibu Mwenezi
Jamii ya Wasioamini Mungu ya Tanzania.
Sitaki kuamini, nataka kujua.Pamoja sana mkuu, japo kuamini kuwa ushauri wako utafanyiwa kazi ni sawa tu na kuamini katika dini