CHAUMMA, CUF, ACT Wazalendo waungana katika iftari maalumu iliyoandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa pamoja na wadau wa demokrasia nchini wamekutana katika iftari maalumu iliyoandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) leo Machi 13, 2026 katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam kwa lengo la kuimarisha mshikamano na majadiliano ya kisiasa nchini.

Iftari hiyo imewakutanisha viongozi wa vyama vya siasa vinavyounda TCD pamoja na wadau wengine wa demokrasia, ambapo imeelezwa kuwa ni sehemu ya kuimarisha mahusiano, kujadiliana na kutafuta njia bora za kulinda na kuendeleza demokrasia ya Tanzania.

Akizungumza katika hafla hiyo, Kaimu Msajili wa Vyama vya Siasa, Mohammed Ally Ahmed, ambaye alikuwa mgeni rasmi, alisema historia ya vyama vya siasa nchini imejengwa katika utamaduni wa kujikosoa na kukosoana ili kuboresha uongozi na mustakabali wa taifa.

CCM B components zaungana kula wali!
 
Nani anagharimia hizi futari?
 
Anasema historia ya mtanganyika ni kukosoa na kukosoana..

Waliotekwa kwa kukosoa wako wapi?

Watueleze walipo kwanza ndio tuwasikilize. hayo matawi ya CCM.
 
Ccm na michepuko yake wala futari. Cdm wahakikishe hawashiriki kwenye hizi hafla za matapeli.
 
Birds 🐦 of the same feathers flies together, Those are briefcase parties sleeping together with CCM in the same bed masturbating to common Mwananch.
 
Back
Top Bottom