CHAUMMA(G-55) Vs CHADEMA 2025, nani ataaminiwa na Umma Zaidi?

MAHANJU

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
5,255
Reaction score
8,027
Habari wanabodi!

Binafsi napenda kuuliza swali moja dogo tu baada ya kuwasikiliza hawa wanaojiita G-55 wanaoondoka CHADEMA kwenda chama kipya ambacho inasadikika ni CHAUMA, hivi kuna Mtanzania ataacha kuangalia au kumsikiliza Tundu Lissu na John Heche akamsikilize John Mrema au Salum Mwalimu au akamsikilize Benson Kigaila kweli? Tuwe wawazi tu hata kama Mbowe ataungana nao wazunguke nchi nzima na Chopa, kuna mtanzania atawasikiliza?

Nimewasikiliza vizuri sana hawa G-55 wanaoondoka CHADEMA kwamba nyuma yao wanawafuasi wengi na kwamba watakutana na CHADEMA majukwaani wapimane ubavu, hivi kweli hawa kina Salum Mwalimu,John Mrema na Kigaila ambao wake zao ni COVID-19 ni watapata wapi ujasiri wa kusimama majukwaani? Watasema nini? Najua kazi yao kubwa itakua ni kuwashambulia Tundu Lissu na John Heche badala ya CCM na kumsifia Mhe Rais Samia , Je, watafanikiwa? Uadilifu wa Tundu Lissu utafananishwa na wa Kigaila kweli?

MwanaCCM nijibu swali hili;
Hivi leo kukiwa na Reforms katika tume ya Uchaguzi, ukikatwa jina lako utakataka kuitafuta haki yako ya kuchaguliwa nje ya CCM utaenda CHADEMA ya Lissu au CHAUMA ya kina Kigaila au hata kama ni ya Mbowe? Simple Logic tuu, utachagua wapi?

Kiufupi na kwa jicho la kawaida G-55 baada ya Uchaguzi watakua na hali mbaya sana kama chama. Tunajua inatafutwa idadi ndogo ya Wabunge wa upinzani kuwahadaa jumuiya za kimataifa ionekane upinzani ulishiriki uchaguzi na una wabunge, pia kukidhi matakwa ya kikatiba kupata Wenyeviti wa baadhi ya kamati za bunge. Lakini je, kuwapata wabunge hao 30 tulioambiwa, watapora kura za nani na kuwapa wao? Kila nayehama anadai anaenda kugombea apate haki yake nje ya CHADEMA, waliohama hawajazidi 30 tu? Pia ni mgombea gani wa kura za Urais atoke CHAUMA apate kura za kuwapatia wabunge wa viti maalum?
Wataweza kumpa hizo kura nani mpaka awe na sifa za kupewa wabunge 30?

Bado hili linatafakarisha sana ingawa wao wanalichukulia simple simple tu.
 
Hao CHAUMMA G55 wanaonekana ni project, wananchi hawawaamini wanawaona ni washenzi fulani waliokisaliti chama chao cha awali baada ya mgombea wao kushindwa kwenye uchaguzi ndani ya chama chao, wameamua kuinukisha CHADEMA kwa kijambo chao. Ndio maana mihamo yao kuanzia ngazi ya juu hadi chini haina impact licha ya kuitisha press kila wanapotangaza kuhama chama
 
CHADEMA ikaze buti isonge mbele licha ya mwenyekiti wao kuwekwa ndani. Washenzi wanaohama chama wahame tu kwa maslahi yao, wapo wananchi wengi wanakiunga mkono kuleta reformation nchini
 
Chakula wanaenda kuaibika vibaya. Hakuna wasichokifahamu wananchi.
 
Mwaka huu ni patashika! Nachoamini safari hii idadi ya Wananchi watakaopiga kura ni ndogo mno!
 
Nani ataaminika zaidi kuhusu nini?

Kama ni masuala ya uchaguzi, wapambanishe tu na ccm, kwasababu hao chauma nao hawataweza kufua dafu mbele ya agenda inayopamba moto ya “No Reforms No Elections”

Pambanisha wanaoshiriki uchaguzi acha kuwa hopeless
 
Habari wanabodi!

Binafsi napenda kuuliza swali moja dogo tu baada ya kuwasikiliza hawa wanaojiita G-55 wanaoondoka CHADEMA kwenda chama kipya ambacho inasadikika ni CHAUMA, hivi kuna Mtanzania ataacha kuangalia au kumsikiliza Tundu Lissu na John Heche akamsikilize John Mrema au Salum Mwalimu au akamsikilize Benson Kigaila kweli? Tuwe wawazi tu hata kama Mbowe ataungana nao wazunguke nchi nzima na Chopa, kuna mtanzania atawasikiliza?

Nimewasikiliza vizuri sana hawa G-55 wanaoondoka CHADEMA kwamba nyuma yao wanawafuasi wengi na kwamba watakutana na CHADEMA majukwaani wapimane ubavu, hivi kweli hawa kina Salum Mwalimu,John Mrema na Kigaila ambao wake zao ni COVID-19 ni watapata wapi ujasiri wa kusimama majukwaani? Watasema nini? Najua kazi yao kubwa itakua ni kuwashambulia Tundu Lissu na John Heche badala ya CCM na kumsifia Mhe Rais Samia , Je, watafanikiwa? Uadilifu wa Tundu Lissu utafananishwa na wa Kigaila kweli?

MwanaCCM nijibu swali hili;
Hivi leo kukiwa na Reforms katika tume ya Uchaguzi, ukikatwa jina lako utakataka kuitafuta haki yako ya kuchaguliwa nje ya CCM utaenda CHADEMA ya Lissu au CHAUMA ya kina Kigaila au hata kama ni ya Mbowe? Simple Logic tuu, utachagua wapi?

Kiufupi na kwa jicho la kawaida G-55 baada ya Uchaguzi watakua na hali mbaya sana kama chama. Tunajua inatafutwa idadi ndogo ya Wabunge wa upinzani kuwahadaa jumuiya za kimataifa ionekane upinzani ulishiriki uchaguzi na una wabunge, pia kukidhi matakwa ya kikatiba kupata Wenyeviti wa baadhi ya kamati za bunge. Lakini je, kuwapata wabunge hao 30 tulioambiwa, watapora kura za nani na kuwapa wao? Kila nayehama anadai anaenda kugombea apate haki yake nje ya CHADEMA, waliohama hawajazidi 30 tu? Pia ni mgombea gani wa kura za Urais atoke CHAUMA apate kura za kuwapatia wabunge wa viti maalum?
Wataweza kumpa hizo kura nani mpaka awe na sifa za kupewa wabunge 30?

Bado hili linatafakarisha sana ingawa wao wanalichukulia simple simple tu.
CHAGAUMA
 
Ukitoa watu tuliopo kwenye mitandao sidhani hata kama robo tu ya watanzania wanafahamu hata kuhusu huu mpasuko, watu wapo bize nakufukuzana na kilimo na hizi mvua.
 
Hawa wahuni wameahidiwa kupewa hivyo viti na Tume ya Uchaguzi, hakuna mpiga kura anaweza kuwapa kura hao wapiga dili
 
Habari wanabodi!

Binafsi napenda kuuliza swali moja dogo tu baada ya kuwasikiliza hawa wanaojiita G-55 wanaoondoka CHADEMA kwenda chama kipya ambacho inasadikika ni CHAUMA, hivi kuna Mtanzania ataacha kuangalia au kumsikiliza Tundu Lissu na John Heche akamsikilize John Mrema au Salum Mwalimu au akamsikilize Benson Kigaila kweli? Tuwe wawazi tu hata kama Mbowe ataungana nao wazunguke nchi nzima na Chopa, kuna mtanzania atawasikiliza?

Nimewasikiliza vizuri sana hawa G-55 wanaoondoka CHADEMA kwamba nyuma yao wanawafuasi wengi na kwamba watakutana na CHADEMA majukwaani wapimane ubavu, hivi kweli hawa kina Salum Mwalimu,John Mrema na Kigaila ambao wake zao ni COVID-19 ni watapata wapi ujasiri wa kusimama majukwaani? Watasema nini? Najua kazi yao kubwa itakua ni kuwashambulia Tundu Lissu na John Heche badala ya CCM na kumsifia Mhe Rais Samia , Je, watafanikiwa? Uadilifu wa Tundu Lissu utafananishwa na wa Kigaila kweli?

MwanaCCM nijibu swali hili;
Hivi leo kukiwa na Reforms katika tume ya Uchaguzi, ukikatwa jina lako utakataka kuitafuta haki yako ya kuchaguliwa nje ya CCM utaenda CHADEMA ya Lissu au CHAUMA ya kina Kigaila au hata kama ni ya Mbowe? Simple Logic tuu, utachagua wapi?

Kiufupi na kwa jicho la kawaida G-55 baada ya Uchaguzi watakua na hali mbaya sana kama chama. Tunajua inatafutwa idadi ndogo ya Wabunge wa upinzani kuwahadaa jumuiya za kimataifa ionekane upinzani ulishiriki uchaguzi na una wabunge, pia kukidhi matakwa ya kikatiba kupata Wenyeviti wa baadhi ya kamati za bunge. Lakini je, kuwapata wabunge hao 30 tulioambiwa, watapora kura za nani na kuwapa wao? Kila nayehama anadai anaenda kugombea apate haki yake nje ya CHADEMA, waliohama hawajazidi 30 tu? Pia ni mgombea gani wa kura za Urais atoke CHAUMA apate kura za kuwapatia wabunge wa viti maalum?
Wataweza kumpa hizo kura nani mpaka awe na sifa za kupewa wabunge 30?

Bado hili linatafakarisha sana ingawa wao wanalichukulia simple simple tu.
bahati mbaya,naita bahati mbaya sana siku hizi watanzania ni welevu sana kuanzia kijijini mpaka mjini.Kinachotathminiwa siku zote ni ile dhamira ya ndani.

Kwa mfano : kwa nini mtu ana risk maisha kwa kuwatetea wengine.Je ni hela anataka au nini? je akifa hizo hela atakula nani?
 
Hakuna kitu hapo😂😂😂😂
Field kuna mambo mengi mno, mbinu nyingi mno na rafu nyingi mno.

Ukiijua hii nchi na watu wake hutashangazwa na lolote maana anayenadi chama A mtandaoni ndo huyo huyo anayepokea ujira wa chama B field na kupigia kura chama C huku mshindi akitoka chama D. Mitandao ina nguvu ila huko field ndo kuna kila kitu.

Wasiojua kinachoendelea mitandaoni nao ni wengi.
images - 2025-05-15T101731.065.jpeg
 
Back
Top Bottom