CHAGAUMAHabari wanabodi!
Binafsi napenda kuuliza swali moja dogo tu baada ya kuwasikiliza hawa wanaojiita G-55 wanaoondoka CHADEMA kwenda chama kipya ambacho inasadikika ni CHAUMA, hivi kuna Mtanzania ataacha kuangalia au kumsikiliza Tundu Lissu na John Heche akamsikilize John Mrema au Salum Mwalimu au akamsikilize Benson Kigaila kweli? Tuwe wawazi tu hata kama Mbowe ataungana nao wazunguke nchi nzima na Chopa, kuna mtanzania atawasikiliza?
Nimewasikiliza vizuri sana hawa G-55 wanaoondoka CHADEMA kwamba nyuma yao wanawafuasi wengi na kwamba watakutana na CHADEMA majukwaani wapimane ubavu, hivi kweli hawa kina Salum Mwalimu,John Mrema na Kigaila ambao wake zao ni COVID-19 ni watapata wapi ujasiri wa kusimama majukwaani? Watasema nini? Najua kazi yao kubwa itakua ni kuwashambulia Tundu Lissu na John Heche badala ya CCM na kumsifia Mhe Rais Samia , Je, watafanikiwa? Uadilifu wa Tundu Lissu utafananishwa na wa Kigaila kweli?
MwanaCCM nijibu swali hili;
Hivi leo kukiwa na Reforms katika tume ya Uchaguzi, ukikatwa jina lako utakataka kuitafuta haki yako ya kuchaguliwa nje ya CCM utaenda CHADEMA ya Lissu au CHAUMA ya kina Kigaila au hata kama ni ya Mbowe? Simple Logic tuu, utachagua wapi?
Kiufupi na kwa jicho la kawaida G-55 baada ya Uchaguzi watakua na hali mbaya sana kama chama. Tunajua inatafutwa idadi ndogo ya Wabunge wa upinzani kuwahadaa jumuiya za kimataifa ionekane upinzani ulishiriki uchaguzi na una wabunge, pia kukidhi matakwa ya kikatiba kupata Wenyeviti wa baadhi ya kamati za bunge. Lakini je, kuwapata wabunge hao 30 tulioambiwa, watapora kura za nani na kuwapa wao? Kila nayehama anadai anaenda kugombea apate haki yake nje ya CHADEMA, waliohama hawajazidi 30 tu? Pia ni mgombea gani wa kura za Urais atoke CHAUMA apate kura za kuwapatia wabunge wa viti maalum?
Wataweza kumpa hizo kura nani mpaka awe na sifa za kupewa wabunge 30?
Bado hili linatafakarisha sana ingawa wao wanalichukulia simple simple tu.
yatapikwa ili waonekane wameshindaChakula wanaenda kuaibika vibaya. Hakuna wasichokifahamu wananchi.
huo ndio uhalisi, wengi hawatapiga kuraMwaka huu ni patashika! Nachoamini safari hii idadi ya Wananchi watakaopiga kura ni ndogo mno!
bahati mbaya,naita bahati mbaya sana siku hizi watanzania ni welevu sana kuanzia kijijini mpaka mjini.Kinachotathminiwa siku zote ni ile dhamira ya ndani.Habari wanabodi!
Binafsi napenda kuuliza swali moja dogo tu baada ya kuwasikiliza hawa wanaojiita G-55 wanaoondoka CHADEMA kwenda chama kipya ambacho inasadikika ni CHAUMA, hivi kuna Mtanzania ataacha kuangalia au kumsikiliza Tundu Lissu na John Heche akamsikilize John Mrema au Salum Mwalimu au akamsikilize Benson Kigaila kweli? Tuwe wawazi tu hata kama Mbowe ataungana nao wazunguke nchi nzima na Chopa, kuna mtanzania atawasikiliza?
Nimewasikiliza vizuri sana hawa G-55 wanaoondoka CHADEMA kwamba nyuma yao wanawafuasi wengi na kwamba watakutana na CHADEMA majukwaani wapimane ubavu, hivi kweli hawa kina Salum Mwalimu,John Mrema na Kigaila ambao wake zao ni COVID-19 ni watapata wapi ujasiri wa kusimama majukwaani? Watasema nini? Najua kazi yao kubwa itakua ni kuwashambulia Tundu Lissu na John Heche badala ya CCM na kumsifia Mhe Rais Samia , Je, watafanikiwa? Uadilifu wa Tundu Lissu utafananishwa na wa Kigaila kweli?
MwanaCCM nijibu swali hili;
Hivi leo kukiwa na Reforms katika tume ya Uchaguzi, ukikatwa jina lako utakataka kuitafuta haki yako ya kuchaguliwa nje ya CCM utaenda CHADEMA ya Lissu au CHAUMA ya kina Kigaila au hata kama ni ya Mbowe? Simple Logic tuu, utachagua wapi?
Kiufupi na kwa jicho la kawaida G-55 baada ya Uchaguzi watakua na hali mbaya sana kama chama. Tunajua inatafutwa idadi ndogo ya Wabunge wa upinzani kuwahadaa jumuiya za kimataifa ionekane upinzani ulishiriki uchaguzi na una wabunge, pia kukidhi matakwa ya kikatiba kupata Wenyeviti wa baadhi ya kamati za bunge. Lakini je, kuwapata wabunge hao 30 tulioambiwa, watapora kura za nani na kuwapa wao? Kila nayehama anadai anaenda kugombea apate haki yake nje ya CHADEMA, waliohama hawajazidi 30 tu? Pia ni mgombea gani wa kura za Urais atoke CHAUMA apate kura za kuwapatia wabunge wa viti maalum?
Wataweza kumpa hizo kura nani mpaka awe na sifa za kupewa wabunge 30?
Bado hili linatafakarisha sana ingawa wao wanalichukulia simple simple tu.
Field kuna mambo mengi mno, mbinu nyingi mno na rafu nyingi mno.Hakuna kitu hapo๐๐๐๐