CHAUMMA kimekuwa kimbilio cha wenye uchu wa madaraka

CHAUMMA kimekuwa kimbilio cha wenye uchu wa madaraka

Joined
Dec 15, 2022
Posts
21
Reaction score
142
katika siku za karibuni tUmeona wanasiasa wenye UCHU wa mamlaka, CHAUMA kimekua kimbilio kwao, hii ni baada ya chama chao kutaka mabadiliko yakimfumo na kugomea kushiriki uchaguzi mkuu wa october 2025,Wengine wamejiengua mapema na kutimkia Chauma hasa kwa lengo la KUSAKA madaraka na kutimiza ndoto zao za kuwa madiwani na hata wabunge,hali hii imepelekea kukibadilisha chama cha CHAUMA kutoka kuwa Chama cha Ubwabwa hadi kuwa CHAMA CHA WATAFUTA MAMLAKA(CHAUMA),yetu macho baada ya uchaguzi wakiyakosa mamlaka Wataumwaga UBWABWA??Time will tell...
 
Back
Top Bottom