Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Hii nchi hatujawahi kuwa serious
Kuna ujinga mwigi sana mwaka huu.Sisi CHAUMMA sera yetu ni chakula, mgonjwa akifika hospitali badala ya kukutana na dripu anakutana na ubwabwa, anapiga ubwabwa anashushia na dawa." - Devotha Minja, Mgombea Mwenza wa Urais kupitia CHAUMMA kwenye uzinduzi wa kampeni.
Haya ndiyo masihara aliyotaka Samia mwaka huu.Sisi CHAUMMA sera yetu ni chakula, mgonjwa akifika hospitali badala ya kukutana na dripu anakutana na ubwabwa, anapiga ubwabwa anashushia na dawa." - Devotha Minja, Mgombea Mwenza wa Urais kupitia CHAUMMA kwenye uzinduzi wa kampeni.