R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 52,815 Reaction score 103,955 Aug 23, 2025 #1 Time will tell! Mark this thread!
ki2c JF-Expert Member Joined Jan 17, 2016 Posts 8,681 Reaction score 16,290 Aug 23, 2025 #2 Hicho ndicho ZZK aliona,bora hata aingie bungeni oamoja na wabunge kadhaa maisha yasonge.
econonist JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 25,522 Reaction score 40,795 Aug 23, 2025 #3 Ukiulizwa watapewa majimbo gani husemi. Kwa Zanzibar ACT ana uwezo wa kupata majimbo 10 kule Pemba kama mambo hayata badilika na Jimbo moja la uhakika bara kule kigoma. Nje ya hapo hakuna kitu.
Ukiulizwa watapewa majimbo gani husemi. Kwa Zanzibar ACT ana uwezo wa kupata majimbo 10 kule Pemba kama mambo hayata badilika na Jimbo moja la uhakika bara kule kigoma. Nje ya hapo hakuna kitu.
F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 36,507 Reaction score 45,129 Aug 23, 2025 #4 Retired said: Time will tell! Mark this thread! Click to expand... Mzee haya ni moja ya makubaliano yao. Wanaigawana Tanganyika kama ile kanzu ya Jesuis pale Karivali.
Retired said: Time will tell! Mark this thread! Click to expand... Mzee haya ni moja ya makubaliano yao. Wanaigawana Tanganyika kama ile kanzu ya Jesuis pale Karivali.