TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,853
- 4,503
maji yamelowa,moto umeungua 😀 ,wazee wa madiliWezi wameibiana.. Wapigaji wamepigana🤣
CHAUMA wanalalamika Salum Mwalimu kawaibia mabilioni,najiuliza waliyapata wapi hayo mabilioni?au ni malipo ya ule mradi wao kwa Mwalimu aliye swahiba wake DJ na hii ndio ilikuwa michezo yao kabla hawajanyonyolewa na TAL pale city FEB 21.Wezi wameibiana.. Wapigaji wamepigana🤣
😂sabuni ya jana povu la Leo.. Waachwe watoane ngeu kwanzamaji yamelowa,moto umeungua 😀 ,wazee wa madili
Hela ya Shetani huliwa na shetaniCHAUMA wanalalamika Salum Mwalimu kawaibia mabilioni,najiuliza waliyapata wapi hayo mabilioni?au ni malipo ya ule mradi wao na CCM,,hUYU Mwalimu ndio swahiba wake DJ na hii ndio ilikuwa michezo yao kabla hawajanyonyolewa na TAL pale city FEB 21.
Anyway toaneni makende,naona mzee Hashimu anatoa milio sana,hao walikuja kikosi cha uhuni kilichokamilika baada ya kukutana na moto .
Tatizo lipo wapi?Hayati Maulida Anna Komu mmoja waliofungua kesi dhidi ya Chadema ni shangazi wa Salim Mwalim
wazee wa madiliHayati Maulida Anna Komu mmoja waliofungua kesi dhidi ya Chadema ni shangazi wa Salim Mwalim