Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Ndiyo wanasiasa hao,wajinga wanaangalia matumbo tu.Ila mbunge wa Chauma kapiga kura ya ndio kwa bajeti.
Yani ni shida sana. Na alipopiga kura ya ndio CCM wakatumia dakika tano kumpongeza bungeni.Ndiyo wanasiasa hao,wajinga wanaangalia matumbo tu.