PreGE2025 CHAUMMA siyo kwa ubaya ila mnapaswa ku-Move on sasa siyo kila siku kuwatajataja CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Hawa lastborn wa siasa kila siku kuwataja chadema kwenye mikutano yao wanashindwa kuweka sera zao. Wanatumia muda mwingi kuwakosoa chadema kutoshiriki uchaguzi.

Kama wao wameamua kushiriki si washiriki tu kuna haja gani ya kuwafuata fuata chadema kila siku. Katibu mkuu wao huko Mwanza leo asema CCM walifanya sherehe kisa CHADEMA hawatoshiriki uchaguzi, sasa inawahusu nini?
 
View attachment 3355747
Chama cha Ubwabwa na Maharage Bado tunajenga chama
 
Hawa lastborn wa siasa kila siku kuwataja chadema kwenye mikutano yao wanashindwa kuweka sera zao. Wanatumia muda mwingi kuwakosoa chadema kutoshiriki uchaguzi.

Kama wao wameamua kushiriki si washiriki tu kuna haja gani ya kuwafuata fuata chadema kila siku. Katibu mkuu wao huko Mwanza leo asema CCM walifanya sherehe kisa CHADEMA hawatoshiriki uchaguzi, sasa inawahusu nini?
View attachment 3355747
Na hii ndio inafanya wanazidi kuchukiwa na wananchi
 
Hawa lastborn wa siasa kila siku kuwataja chadema kwenye mikutano yao wanashindwa kuweka sera zao. Wanatumia muda mwingi kuwakosoa chadema kutoshiriki uchaguzi.

Kama wao wameamua kushiriki si washiriki tu kuna haja gani ya kuwafuata fuata chadema kila siku. Katibu mkuu wao huko Mwanza leo asema CCM walifanya sherehe kisa CHADEMA hawatoshiriki uchaguzi, sasa inawahusu nini?
View attachment 3355747
IMG-20250604-WA0009.jpg
 
Hawa wapumbafu utapambana na ccm inayomiliki tume ya uchaguzi?
 
Hawa lastborn wa siasa kila siku kuwataja chadema kwenye mikutano yao wanashindwa kuweka sera zao. Wanatumia muda mwingi kuwakosoa chadema kutoshiriki uchaguzi.

Kama wao wameamua kushiriki si washiriki tu kuna haja gani ya kuwafuata fuata chadema kila siku. Katibu mkuu wao huko Mwanza leo asema CCM walifanya sherehe kisa CHADEMA hawatoshiriki uchaguzi, sasa inawahusu nini?
View attachment 3355747
Mbona camera man anaficha wahutubiwaji
 
Wao upinzani unahusiana na CDM, walikotoka- kuwakomoa.
Badala ya kuhangaika na watawala, wanaona wakiwashughulikia CDM, wataxifiwa na ccm na kupewa madaraka kama shukrani. Mauongo meengi wakifikiri yatawaxaidia! Aibu...nk.
 
Back
Top Bottom