Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Wakuu
Kwa wale mliokuwa mnahoji wapi walipo CHAUMMA mbona kimya sana?. Wamejitokeza na kueleza sababu za kuwa kimya ilikuwa ni kuandaa mazingira ya mchakato wa uchaguzi wa ubunge na udiwani, hii inahusisha mchakato wa kutoa fomu.
"Hiki ndiyo kile kimya hata waandishi mlikuwa mkiuliza, CHAUMMA mpo kimya, mpo kimya . Tulivyomaliza awamu ya kwanza tulikuwa na mengi yanayoendelea ya kukiandaa chama kuelekea uchaguzi mkuu" Salum Mwalim, Katibu Mkuu CHAUMMA