Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Tulia kaka Mshana, hutaki chopa lipumzike?Likizo🤣🤣🤣🤣🤣
Chukueni fomu kwanzaWALI MAHARAGE BADO HAUJAIVA?
Haahaa salumu mwalimu shavu limeanza kuongezeka kwa pesa za ccmWakuu
Kwa wale mliokuwa mnahoji wapi walipo CHAUMMA mbona kimya sana?. Wamejitokeza na kueleza sababu za kuwa kimya ilikuwa ni kuandaa mazingira ya mchakato wa uchaguzi wa ubunge na udiwani, hii inahusisha mchakato wa kutoa fomu.
"Hiki ndiyo kile kimya hata waandishi mlikuwa mkiuliza, CHAUMMA mpo kimya, mpo kimya . Tulivyomaliza awamu ya kwanza tulikuwa na mengi yanayoendelea ya kukiandaa chama kuelekea uchaguzi mkuu" Salum Mwalim, Katibu Mkuu CHAUMMA
View attachment 3389212
Likizo wakati hujafanya kazi? Huyu katibu mkuu anajielewa kweli???Likizo🤣🤣🤣🤣🤣
Mnaburudisha,kuchekesha na makazalika.Kwa nini watu wasiwa-miss? You're the funniest guys ever happened on earth! Really!Wakuu
Kwa wale mliokuwa mnahoji wapi walipo CHAUMMA mbona kimya sana?. Wamejitokeza na kueleza sababu za kuwa kimya ilikuwa ni kuandaa mazingira ya mchakato wa uchaguzi wa ubunge na udiwani, hii inahusisha mchakato wa kutoa fomu.
"Hiki ndiyo kile kimya hata waandishi mlikuwa mkiuliza, CHAUMMA mpo kimya, mpo kimya . Tulivyomaliza awamu ya kwanza tulikuwa na mengi yanayoendelea ya kukiandaa chama kuelekea uchaguzi mkuu" Salum Mwalim, Katibu Mkuu CHAUMMA
View attachment 3389212
CCM sasa hivi ana vimada wawili. Kazi iko mbele. Anaweza kuwafurahisha wote wakati wa uchaguzi? Upande huu wako CCM asili, waliohangaika muda wote. Upande ule wako wanaohamia CCM kama Msigwa na Ester. Kule wako CHAUMMA. Na kule wao ACT. Majimbo machache japo wamejaribu kuongeza... Ni vita!Mnaburudisha,kuchekesha na makazalika.Kwa nini watu wasiwa-miss? You're the funniest guys ever happened on earth! Really!
Nimeipenda hiyo.Walogane,kulishana sumu na kuuwawa kabisa.Walianza na wahindi,wakasema achana nao.Sisi siyo wahindi.Wakaja kwa waitaliano.Napo wakasema waachwe wao siyo waitaliano.Wakaenda kwa wayahudi vilevile ikawa.Wakaenda kwa Mdude,Saanane na wengine.Mambo yakawa mumo kwa pale.Sasa wamefikiana wenyewe kwa wenyewe.Ngoja tuone.CCM sasa hivi ana vimada wawili. Kazi iko mbele. Anaweza kuwafurahisha wote wakati wa uchaguzi? Upande huu wako CCM asili, waliohangaika muda wote. Upande ule wako wanaohamia CCM kama Msigwa na Ester. Kule wako CHAUMMA. Na kule wao ACT. Majimbo machache japo wamejaribu kuongeza... Ni vita!