GE2025 CHAUMMA: Tupo tayari kuungana na vyama vingine kudai mabadiliko

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wakuu!

CHAUMMA wanaingia kama Avengers wa siasa!

Katibu Mkuu wao, Salum Mwalimu, anasema wapo tayari kushirikiana na vyama vingine vya upinzani lakini si kwa chokochoko, bali kwa maarifa na misingi madhubuti ya mabadiliko! šŸ˜…

===

Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, amesema kuwa chama hicho kiko tayari kushirikiana na vyama vingine vya upinzani katika kuongeza nguvu ya ushindani kwa nafasi za udiwani, uwakilishi na ubunge kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu.

Mwalimu ametoa kauli hiyo leo, Julai 10, 2025, wakati akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Darajabovu Madukani, Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja.

Amesema kuwa lengo la CHAUMMA si kuvuruga wala kudhoofisha nchi, bali ni kuchangia maarifa na kuimarisha misingi madhubuti ya mabadiliko yenye manufaa kwa Wazanzibari, huku akisisitiza kuwa chama hicho hakina nia ya kuwa chokochoko dhidi ya chama tawala.

"Tunataka kuona Zanzibar yenye mshikamano, umoja na ushirikiano wa kweli miongoni mwa wananchi ili kwa pamoja tuweze kushinda dhamira ya mabadiliko," amesema

Amesisitiza kuwa endapo uchaguzi utafanyika kwa uhuru na haki, CHAUMMA iko tayari kumuunga mkono mshindi halali, lakini haitakubali kuona udhalimu na ukiukwaji wa haki za wapiga kura.

Aidha, Salum Mwalimu amevitaka vyombo vya ulinzi na usalama kutekeleza majukumu yao kwa kufuata misingi ya haki, usawa na kutoegemea upande wowote wa kisiasa, akisisitiza umuhimu wa taasisi hizo kuwa kioo cha amani na utulivu hasa katika kipindi cha uchaguzi.

Chanzo: Nipashe
 
Uungane na mamluki ukiwa unatafuta mabadiliko gani kutoka kwa wake wadogo wa CCM.
 
Mbona imekuwa ghafla. Ile speed fake waliyoanza nayo imeishia wapi ?
 
Hizo lugha ni mistari wamemezeshwa na ccm. Waungane sasa maana walikuwa wanasema tatizo ni cdm. Tena uzuri wote wanaongea lugha inayotakiwa na ccm.
 
Anajipendekeza kwa ACT Wazalendo, hawa hata wakiungana wataangukia pua kwenye uchaguzi, labda waachiwe majimbo na kata kadhaa kama ccm watataka kuwatunuku shukrani kwa kufanya siasa za kilaghai
 
These words are too good to be true.

Wakuu, wekeni na clips zake za 2020 alipokuwa mgombea mwenza wa TAL.
 
Zanzibar siasa zimepoa, wanahitaji hardline politics za CHADEMA kule pachangamke.
 
Wakuu!

CHAUMMA wanaingia kama Avengers wa siasa!

Katibu Mkuu wao, Salum Mwalimu, anasema wapo tayari kushirikiana na vyama vingine vya upinzani lakini si kwa chokochoko, bali kwa maarifa na misingi madhubuti ya mabadiliko! [emoji28]

===

Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, amesema kuwa chama hicho kiko tayari kushirikiana na vyama vingine vya upinzani katika kuongeza nguvu ya ushindani kwa nafasi za udiwani, uwakilishi na ubunge kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu.

Mwalimu ametoa kauli hiyo leo, Julai 10, 2025, wakati akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Darajabovu Madukani, Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja.

Amesema kuwa lengo la CHAUMMA si kuvuruga wala kudhoofisha nchi, bali ni kuchangia maarifa na kuimarisha misingi madhubuti ya mabadiliko yenye manufaa kwa Wazanzibari, huku akisisitiza kuwa chama hicho hakina nia ya kuwa chokochoko dhidi ya chama tawala.

"Tunataka kuona Zanzibar yenye mshikamano, umoja na ushirikiano wa kweli miongoni mwa wananchi ili kwa pamoja tuweze kushinda dhamira ya mabadiliko," amesema

Amesisitiza kuwa endapo uchaguzi utafanyika kwa uhuru na haki, CHAUMMA iko tayari kumuunga mkono mshindi halali, lakini haitakubali kuona udhalimu na ukiukwaji wa haki za wapiga kura.

Aidha, Salum Mwalimu amevitaka vyombo vya ulinzi na usalama kutekeleza majukumu yao kwa kufuata misingi ya haki, usawa na kutoegemea upande wowote wa kisiasa, akisisitiza umuhimu wa taasisi hizo kuwa kioo cha amani na utulivu hasa katika kipindi cha uchaguzi.

Chanzo: Nipashe
Yaani wanahangaika hawa chawaumwa, wamechanganyikiwa hadi wanakosa cha kushika, kama manyani
 
Wakuu!

CHAUMMA wanaingia kama Avengers wa siasa!

Katibu Mkuu wao, Salum Mwalimu, anasema wapo tayari kushirikiana na vyama vingine vya upinzani lakini si kwa chokochoko, bali kwa maarifa na misingi madhubuti ya mabadiliko! šŸ˜…

===

Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, amesema kuwa chama hicho kiko tayari kushirikiana na vyama vingine vya upinzani katika kuongeza nguvu ya ushindani kwa nafasi za udiwani, uwakilishi na ubunge kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu.

Mwalimu ametoa kauli hiyo leo, Julai 10, 2025, wakati akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Darajabovu Madukani, Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja.

Amesema kuwa lengo la CHAUMMA si kuvuruga wala kudhoofisha nchi, bali ni kuchangia maarifa na kuimarisha misingi madhubuti ya mabadiliko yenye manufaa kwa Wazanzibari, huku akisisitiza kuwa chama hicho hakina nia ya kuwa chokochoko dhidi ya chama tawala.

"Tunataka kuona Zanzibar yenye mshikamano, umoja na ushirikiano wa kweli miongoni mwa wananchi ili kwa pamoja tuweze kushinda dhamira ya mabadiliko," amesema

Amesisitiza kuwa endapo uchaguzi utafanyika kwa uhuru na haki, CHAUMMA iko tayari kumuunga mkono mshindi halali, lakini haitakubali kuona udhalimu na ukiukwaji wa haki za wapiga kura.

Aidha, Salum Mwalimu amevitaka vyombo vya ulinzi na usalama kutekeleza majukumu yao kwa kufuata misingi ya haki, usawa na kutoegemea upande wowote wa kisiasa, akisisitiza umuhimu wa taasisi hizo kuwa kioo cha amani na utulivu hasa katika kipindi cha uchaguzi.

Chanzo: Nipashe
Kwahiyo anaona kuungana na sisiemu haitoshi?
 
Back
Top Bottom