Mpepetaji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2025
- 346
- 213
Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Bibi. Devotha Minja, ameanza ziara yake mkoani Tabora ya kuomba kura za wananchi kukipa ridhaa chama hicho kuongoza Tanzania huku akikiahidi wakiingia madarakani kukibadili kilimo hapa nchini, kuwa cha umwagiliaji kuachana na kilimo cha kutegemea mvua kinacho wasababishia hasa kubwa wakulima.