Hawa walitapeliwa kuiangamiza chadema wataishia kujimaliza wenyewe kisiasa. Labda waonewe huruma wapewe majimbo ya bwerere kama asante kwa kuififisha chadema. Ni wahuni tu wenye kufanya siasa za kilaghai. Ona sasa mapema tu wanapata aibu kwenye mikutano yao ya chaumma
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.