veyra
Member
- Aug 31, 2025
- 19
- 29
Baadhi ya viongozi, wanachama na wananchi wakiwa katika Viwanja vya Biafra, Kinondoni mkoani Dar es Salaam, kusikiliza sera kwenye uzinduzi wa kampeni za uchaguzi za Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) leo Agosti 31, 2025.
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CHAUMMA, Salum Mwalim anaendelea kunadi sera za chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29 mwaka huu, na kuomba ridhaa ya Watanzania kumchagua kuwa Rais wa Tanzania.
Moja ya sera za CHAUMMA ni kuwa ikiingia madarakani itahakikisha inaboresha na kusimamia ufanisi wa utendaji wa mahakama na kuwapa motisha watendaji wa mahakama ili kuwa na ari katika utendaji kazi wao.