Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Leo, baadhi ya wanachama wa CHAUMMA waliokuwa awali CHADEMA wamejivua uanachama wa chama hicho kutokana na changamoto kadhaa, ikiwemo ufisadi, unyanyasaji dhidi ya wanawake, na kutowapa mikopo waliyoahidiwa.
Vijana waliokuwa wameshatiwa ahadi za boda boda pia wamegundua kuwa ahadi hizo hazikutimizwa. Hivyo basi, baadhi yao wameamua kurudi CHADEMA, wakiomba viongozi wa chama hicho wawapokee.
Wengine, bila kuwa na wapi pa kwenda, wameamua kutokuwa tena katika CHAUMMA. Kiongozi mmoja aliashiria: “Mtoto akinyea mkono, huwezi kuukata,” akimaanisha kuwa wanapaswa kurudishwa katika chama chao cha awali.