Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Chama cha Ukombozi wa Umma kimefanya Uzinduzi wa ofisi ya chama hicho Mkoa wa Kilimanjaro leo Julai 19,2025 na kuhudhuriwa na wafuasa mbalimbali wa chama hicho.
Sambamba na uzinduzi huo pia Chama hicho rasmi kimezinduzi wa zoezi la uchukuaji fomu kwa wagombea wa ubunge na udiwani ndani ya Mkoa wa Kilimanjaro.
Sambamba na uzinduzi huo pia Chama hicho rasmi kimezinduzi wa zoezi la uchukuaji fomu kwa wagombea wa ubunge na udiwani ndani ya Mkoa wa Kilimanjaro.
