Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
MCHOME na KILEO banaChama cha Ukombozi wa Umma kimefanya Uzinduzi wa ofisi ya chama hicho Mkoa wa Kilimanjaro leo Julai 19,2025 na kuhudhuriwa na wafuasa mbalimbali wa chama hicho.
Sambamba na uzinduzi huo pia Chama hicho rasmi kimezinduzi wa zoezi la uchukuaji fomu kwa wagombea wa ubunge na udiwani ndani ya Mkoa wa Kilimanjaro.
Labda Tanganyika πΌMCHOME na KILEO bana
kwa style hiyo lazima CHAUMMA wapate wafuasi na hatimae kua chama kikuu cha upinzani
huenda mchome akawa (KUB) kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bunge lijalo gentlemanLabda Tanganyika πΌ
Bunge gani? πππhuenda mchome akawa (KUB) kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bunge lijalo gentleman
litakaloundwa baada ya uchaguzi mkuu wa kihistoria mapema october 2025.Bunge gani? πππ
Tume ya Keenja unaikumbuka? ππlitakaloundwa baada ya uchaguzi mkuu wa kihistoria mapema october 2025.