Mwenyekiti wa Chama Cha Ukombozi wa UMMA(CHAUMMA)zamani CHADEMA Mkoa wa Dodoma Aisha Madoga amechukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Dodoma Mjini
Madoga amechukua fomu hiyo Leo Agost 4,2025 Jijini Dodoma ambapo pia aliandaa chakula Cha mchana(UBWABWA)Kwa wanachama wa CHAUMMA na Wananchi wa eneo la Area D Jijini humo
Akizungumza na Wasafi Media Madoga amesema kuwa sio tama za kuwatumikia wananchi wa Dodoma Mjini ndio zimesababisha kuhama CHADEMA ila yeye alishindwana na kupishana kimitizamo na Chama hicho
Aidha Madoga amewakaribisha waliokuwa wanachama wa CHADEMA ambao wamehamia CCM na majina Yao yalikatwa kwenye mchakato wa kura za maoni katika Chama hicho kujiunga na CHAUMMA kwani ni Jukwaa uhuru na sahihi
Chanzo: Wasafi FM