GE2025 CHAUMMA yaitaka INEC kuwachukulia hatua wasimamizi wanaowaengua wagombea wa upinzani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimeitaka Tume huru ya Taifa nchini (INEC) kuwachukulia hatua kali za kuwafikisha mahakamani kwa mujibu wa sheria ya tume hiyo, wasimamizi wa uchaguzi mkuu wa madiwani ,wabunge na urais watakaojihusisha na vitendo haramu vya kuwaengua wagombea wa upinzani katika uchaguzi huo kwa madai ya kutokujua kusoma na kuandika pamoja na makosa ya kusingiziwa ili kuhakikisha uchaguzi unakuwa huru na haki.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Akizungumza wakati wa kukabidhi fomu kwa wagombea wa chama hicho ngazi ya udiwani mkoa wa Geita, Mkurugenzi wa kurugenzi ya habari na taarifa kwa umma Bwana John Mrema ameitaka tume kuchukua hatua ili wananchi wapate viongozi wanaowataka.

CHAUMMA Wana hoja.Hakuna kukimbia uchaguzi.CCM inapenda kususiwa
 
Back
Top Bottom