Ankali T anazidi kuumbuliwa ,chama cha MATAPELI.Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), kwa sauti moja, imepitisha azimio la kumvua madaraka na kumsimamisha mara moja aliyekuwa Katibu Mkuu na mgombea wao wa Urais mwaka 2025, Salum Mwalimu, kwa makosa ya matumizi mabaya ya fedha.
Makosa mengine yaliyosababisha avuliwe cheo hicho ni pamoja na kutokuwa na uwazi kwenye mapato na matumizi ya fedha ndani ya chama, kubadilisha msimamo wa chama kwa utashi na matakwa yake binafsi, kushindwa kuheshimu uongozi pamoja na kuendesha chama mithili ya mali yake binafsi.
Uamuzi huo umefikiwa leo Jumanne, Juni 30, 2026, jijini Dar es Salaam, ikiwa ni saa chache baada ya Salum Mwalimu kuandika barua ya kwenda kwa Mwenyekiti wa Chama Taifa, Hashim Rungwe, akitaka kujiweka pembeni ili kupisha uchunguzi na kumteua Benson Kigaila kukaimu nafasi hiyo.
Kutokana na hatua hiyo, kikao hicho kimeamua kumfukuza rasmi kwa kura zote za wajumbe 31 na kumpa muda wa kukabidhi mali zote za ofisi.
Soma Pia: Sekretarieti ya CHAUMMA Yawasilisha Waraka wa Kutokuwa na Imani na Salum Mwalimu
Jumatatu, Juni 29, 2026, Sekretarieti Kuu ya Taifa, ikiongozwa na Benson Kigaila, Edward Kinabo, Ismail Kangeta, Aisha Madoga, na Mohamed Pume, waliwasilisha waraka wa kutokuwa na imani mbele ya Kamati Kuu wakimtuhumu Mwalimu kwa kufanya ubadhirifu wa fedha, na kuendesha chama kama mali yake binafsi.
Kamati Kuu iliridhia na kupeleka azimio hilo mbele ya Halmashauri Kuu
Makosa haya haya ndiyo aliyafanya akiwa CHADEMA.Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), kwa sauti moja, imepitisha azimio la kumvua madaraka na kumsimamisha mara moja aliyekuwa Katibu Mkuu na mgombea wao wa Urais mwaka 2025, Salum Mwalimu, kwa makosa ya matumizi mabaya ya fedha.
Makosa mengine yaliyosababisha avuliwe cheo hicho ni pamoja na kutokuwa na uwazi kwenye mapato na matumizi ya fedha ndani ya chama, kubadilisha msimamo wa chama kwa utashi na matakwa yake binafsi, kushindwa kuheshimu uongozi pamoja na kuendesha chama mithili ya mali yake binafsi.
Uamuzi huo umefikiwa leo Jumanne, Juni 30, 2026, jijini Dar es Salaam, ikiwa ni saa chache baada ya Salum Mwalimu kuandika barua ya kwenda kwa Mwenyekiti wa Chama Taifa, Hashim Rungwe, akitaka kujiweka pembeni ili kupisha uchunguzi na kumteua Benson Kigaila kukaimu nafasi hiyo.
Kutokana na hatua hiyo, kikao hicho kimeamua kumfukuza rasmi kwa kura zote za wajumbe 31 na kumpa muda wa kukabidhi mali zote za ofisi.
Soma Pia: Sekretarieti ya CHAUMMA Yawasilisha Waraka wa Kutokuwa na Imani na Salum Mwalimu
Jumatatu, Juni 29, 2026, Sekretarieti Kuu ya Taifa, ikiongozwa na Benson Kigaila, Edward Kinabo, Ismail Kangeta, Aisha Madoga, na Mohamed Pume, waliwasilisha waraka wa kutokuwa na imani mbele ya Kamati Kuu wakimtuhumu Mwalimu kwa kufanya ubadhirifu wa fedha, na kuendesha chama kama mali yake binafsi.
Kamati Kuu iliridhia na kupeleka azimio hilo mbele ya Halmashauri Kuu
Chadema ilivumilia mengi...Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), kwa sauti moja, imepitisha azimio la kumvua madaraka na kumsimamisha mara moja aliyekuwa Katibu Mkuu na mgombea wao wa Urais mwaka 2025, Salum Mwalimu, kwa makosa ya matumizi mabaya ya fedha.
Makosa mengine yaliyosababisha avuliwe cheo hicho ni pamoja na kutokuwa na uwazi kwenye mapato na matumizi ya fedha ndani ya chama, kubadilisha msimamo wa chama kwa utashi na matakwa yake binafsi, kushindwa kuheshimu uongozi pamoja na kuendesha chama mithili ya mali yake binafsi.
Uamuzi huo umefikiwa leo Jumanne, Juni 30, 2026, jijini Dar es Salaam, ikiwa ni saa chache baada ya Salum Mwalimu kuandika barua ya kwenda kwa Mwenyekiti wa Chama Taifa, Hashim Rungwe, akitaka kujiweka pembeni ili kupisha uchunguzi na kumteua Benson Kigaila kukaimu nafasi hiyo.
Kutokana na hatua hiyo, kikao hicho kimeamua kumfukuza rasmi kwa kura zote za wajumbe 31 na kumpa muda wa kukabidhi mali zote za ofisi.
Soma Pia: Sekretarieti ya CHAUMMA Yawasilisha Waraka wa Kutokuwa na Imani na Salum Mwalimu
Jumatatu, Juni 29, 2026, Sekretarieti Kuu ya Taifa, ikiongozwa na Benson Kigaila, Edward Kinabo, Ismail Kangeta, Aisha Madoga, na Mohamed Pume, waliwasilisha waraka wa kutokuwa na imani mbele ya Kamati Kuu wakimtuhumu Mwalimu kwa kufanya ubadhirifu wa fedha, na kuendesha chama kama mali yake binafsi.
Kamati Kuu iliridhia na kupeleka azimio hilo mbele ya Halmashauri Kuu
Matapeli walikuwa wengi sana kina Ankali T na Genge lao la Machame.Chadema ilivumilia mengi...
😁😂😃😀😅 SafiWasaliti wamesalitiana tena!
Yericko Nyerere ana cheo gani?Bado kibaka wa mbutu Yericko Nyerere .
Mimi hadi leo ninaamini aliyeiba mihuri ya chama na kufoji saini ili Covid 1-19 wakaape ni haka kajamaa wakishirikiana na Kigaila maana wake zao walikua wanufaika wa ule mradi.
Huyo ni chawa wa Sultan MboweYericko Nyerere ana cheo gani?
Ccm wana kitu cha kujifunza kwenye hili sakata la Chaumma.Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), kwa sauti moja, imepitisha azimio la kumvua madaraka na kumsimamisha mara moja aliyekuwa Katibu Mkuu na mgombea wao wa Urais mwaka 2025, Salum Mwalimu, kwa makosa ya matumizi mabaya ya fedha.
Makosa mengine yaliyosababisha avuliwe cheo hicho ni pamoja na kutokuwa na uwazi kwenye mapato na matumizi ya fedha ndani ya chama, kubadilisha msimamo wa chama kwa utashi na matakwa yake binafsi, kushindwa kuheshimu uongozi pamoja na kuendesha chama mithili ya mali yake binafsi.
Uamuzi huo umefikiwa leo Jumanne, Juni 30, 2026, jijini Dar es Salaam, ikiwa ni saa chache baada ya Salum Mwalimu kuandika barua ya kwenda kwa Mwenyekiti wa Chama Taifa, Hashim Rungwe, akitaka kujiweka pembeni ili kupisha uchunguzi na kumteua Benson Kigaila kukaimu nafasi hiyo.
Kutokana na hatua hiyo, kikao hicho kimeamua kumfukuza rasmi kwa kura zote za wajumbe 31 na kumpa muda wa kukabidhi mali zote za ofisi.
Soma Pia: Sekretarieti ya CHAUMMA Yawasilisha Waraka wa Kutokuwa na Imani na Salum Mwalimu
Jumatatu, Juni 29, 2026, Sekretarieti Kuu ya Taifa, ikiongozwa na Benson Kigaila, Edward Kinabo, Ismail Kangeta, Aisha Madoga, na Mohamed Pume, waliwasilisha waraka wa kutokuwa na imani mbele ya Kamati Kuu wakimtuhumu Mwalimu kwa kufanya ubadhirifu wa fedha, na kuendesha chama kama mali yake binafsi.
Kamati Kuu iliridhia na kupeleka azimio hilo mbele ya Halmashauri Kuu
Sasa hata Retired si ni chawa wa MboweHuyo ni chawa wa Sultan Mbowe
Siyo mna kitu cha kujifunza??Ccm wana kitu cha kujifunza kwenye hili sakata la Chaumma.
Nilimaanisha baada ya cheo cha Mwalim kinachofuata watatimuliwa na watajiunga na CCM.Yericko Nyerere ana cheo gani?
Ndiyo mna kitu kikubwa sana.Siyo mna kitu cha kujifunza??
*****Wasaliti wamesalitiana tena!